Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Eti watu 9 mnatoa wapi uwongo wewe una uhakika leo watu 9 wamekufa umeitoa hio habari wapi.
 
We kipofu unayebishana na Quran soma hii. Surar 19:33-34.. uakufuru ewe utakayefululiwa kipofu sababu hujamemorize Quran.. Unajua maana ya Mutawafika? Death of Jesus – The meaning of 'Mutawaffi'. When Allah said, 'O Jesus, I will cause thee to die (Mutawaffi) a natural death and will raise

Quran 19:33
Peace be upon me the day I was born, the day I die, and the day I will be raised back to life!”
— Dr. Mustafa Khattab,
Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuka na kuwa hai.

Quran 19:34
That is Jesus, the son of Mary - the word of truth about which they are in dispute.
— Saheeh International

That is Jesus, son of Mary. ˹And this is˺ a word of truth, about which they dispute.
— Dr. Mustafa Khattab, The Clear Quran
That is Jesus, the son of Mary - the word of truth about which they are in dispute.
— Saheeh International
Such was Jesus, son of Mary: (this is) a statement of the truth concerning which they doubt.
— M. Pickthall
Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Sibishani na mjinga asiye jua dini we bora tuongelee mambo ya vita. Sipotezi wakati wangu na 1=3
 
Netanyahu kasema kauli moja tu.. Kurejesh raia North na ndio dhamira akamaliza.. waombee wenzio POO wataisha kwa ubishi wao they think Allah anaweza kupigana na Netanyahu hahahahaha
Haya si anajidai ataweka ukuta kwenye mto Letani pale Lebanon haya yeye kama mwanaume ajaribu. Walishindwa 2006 wataweza 2024 😄

Nyie tulieni kipigo safari hi mtakiweka kwenye history.
 
Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.

Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla

Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu 12 na maelfu kujeruhiwa
===========

Walkie-talkies used by Hezbollah have detonated in Lebanon's south and in suburbs of the capital Beirut, witnesses say. Dozens of people have been wounded by the latest explosions, according to security sources, which come a day after deadly pager blasts.

Three people have been killed in the latest device blasts, Reuters cites the Lebanese state news agency as saying.

The deaths were reported from the Bekaa region, in the east of the country.

Our special correspondent Alex Crawford is at a funeral in Beirut for four people killed in yesterday's attacks.

She says the area is in the southern suburbs of Beirut and she heard a "small sound of something popping".

"We came out to try and found out what the sound was and people were running. People were covered in blood," she says.

"There was blood on a car.

"One young man was running and he was very stressed. He said a walkie-talkie - which the Hezbollah security people around here are using for the funeral - exploded.

"The Hezbollah people then gathered up all the walkie-talkies and have been taking the batteries out of them.

CHANZO: Sky News
12 wamekufa na maelfu wameachwa bila mbupu. Kizazi cha magaidi ndio basi tena
 
photo_2024-09-18_01-35-19.jpg
 
Allah utamfananisha The Holy Ghost 😄 Mpaa 1=3 mmoja ni Ghost aisay hio dini yenu mnamuita Shetan The Holy. Mnataka kumfananisha na Gabriel au? Gabriel hana dhambi toka lini Shetani akawa hana dhambi isipo kuwa kwa muotaji aliye liota Shetani takatifu lipo juu ya mkunazi kwenye njia panda

Milipuko imewekwa kwenye bikra huko ahera. Hadi Muddy this time atakwenda na maji. Anavyopenda kipochi manyoya🤣
 
We kicha Hizo pager na hizo radio call mpya ndio wameweza kuweka(PETN) hizo pia wanaweza kuzitumia pamoja na pager hizo hizo sababu zikifika watazihakikisha hazina PETN. Kipigo kipo pale pale umeona leo mvua zilizo shuka huko North ya Israel.

Na bado tulizeni ball communication kubadilisha sio tatizo wataenda China ngoma bado mbichi hi tulia kesho uone bada ya speech ya Nasurlah kama Israel itabaki salama vitu vinaenda kushushwa kwenye majumba yao.
Screenshot_2024-09-18-23-16-48-114_com.android.chrome.jpg
 
We kicha Hizo pager na hizo radio call mpya ndio wameweza kuweka(PETN) hizo pia wanaweza kuzitumia pamoja na pager hizo hizo sababu zikifika watazihakikisha hazina PETN. Kipigo kipo pale pale umeona leo mvua zilizo shuka huko North ya Israel.

Na bado tulizeni ball communication kubadilisha sio tatizo wataenda China ngoma bado mbichi hi tulia kesho uone bada ya speech ya Nasurlah kama Israel itabaki salama vitu vinaenda kushushwa kwenye majumba yao.
Kwa taarifa yako, Israel wana akili kuwashinda hao wavimba macho wa China mbali sana na wachina ni mashahidi wa hilo.
 
Baada ya pager sasa walkie - talkies na baadaye itafuata pikipiki za hawa vikaragosi vya Iran wanazotumia .
 
Back
Top Bottom