Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Huu mziki Allah na Mudi wameshindwa. Ni wakati sasa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S aingilie kati kuleta amani ya kudumu.

Mcheki hapo chini kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa uislamu na waislam.

View attachment 3099695

Malaria 2 Al maktoum
Ndugu yangu kipenzi cha Imaam Hussein ulikua wapi wewe nilikutafuta sana sikukuona muda humu mpaka nikawa naulizia yuko wapi Imam hussein jamani🤣
 
Kuna wengine sehemu zao za siri zimeungua vibaya sasa sijui itakuwaje?!😆
Wacha wee, Sasa Kama sehemu za Siri zimelipuliwa Ina maana huko aendako mabikra 72 wenye mitako ya haja atawaangalia tu. Anyway sheikh kipozeo alituhakikishia Kuna mito inayotiririsha pombe , Tena sio hizi pombe chungu za huku.
 
Kama sote tutakubaliana awa mosad wapo vizuli kwenye sekta kadhaa asa mawasiliano uko wamejikita mbalisana. Lkn embutuwaze awa wapo vitani Israel na isbula je kwann Israel wasitumie nyenzoyao hii kwaweledi zaid yani mfumo wamawasiliano w adui yako kijesh unaumiliki ww sasa si angejiandaa kimya kimya kutuma majesh y uvamizi yakiwa tayali ndio angefanya ichi alichofanya mana adui yako atakuwa anajitafuta ktk mawasiliano ingefungwa anga ya Lebanon yote kwa speed kubwa pengine wangeweza kuyafikia maeneo tata yaliowekwa makombora ya aliyajuu na kuyachukua kwenda kuyachunguza. Mana nayo ayazuilki.yanani adi ayashikiki. Wa iran pia walijua ndio mpango wao wakatuma haraka madoctar na vifaa lkn wenye akili wamejua wale sio madaktari ni wataalamu wa mawasiliano na wamebeba vifaaa zaid vya mawasiliano ukiacha na dawa za kuzugia. Kwaili sio tena km Israel anampango wa uvamiz upande ule. Mana kumbe alikuwa na Big chance daa sio poa awa jamaa.
 
Kumbe kutaja 700 ni rahisi hivyo, sasa ulikuwa unakwama wapi? 😀 😀 😀
Mbona mnaficha ? Kwa hiyo taifa la Mungu hapo limeshinwa kuzuia maafa tena hao ni wanajeshi sio Raia baki , dhidi ya wanamgambo 😀 😀 😀
 
Hezbullah huwa hafichi wale Israel askari zao wanawaita kuku na wale ma office wanawaita majogoo 😄

Ukisikia empty spaces ujuwe kuku wamekufa na ukisikia mabanda ujuwe jogoo wamekufa
Uwongo mtupu.

Israel pia kukitokea kifo chochote huwa hawafichi. Mpaka vifo ambavyo wenyewe kwa wenyewe wameuana, wanaripoti.

EThics za Israel haziruhusu kusema uwongo eti kwa sababu za kiusalama, kama ilivyo huku kwetu. Kuficha vifo, halafu ije kujulikana baadaye, aliyeficha lazima aadhibiwe vikali.

Kwenye vita hivi, Israel, Hezbollah na Hamas, wote hawafichi vifo. Lakini Israel kuna baadhi ya madhambulio dhidi ya maadui zake, huwa inanyamaza kimya, haikiri wala haikatai.
 
Mbona mnaficha ? Kwa hiyo taifa la Mungu hapo limeshinwa kuzuia maafa tena hao ni wanajeshi sio Raia baki , dhidi ya wanamgambo 😀 😀 😀
Hao askari 700, karibia nusu yao, ni wale waliouawa kwenye shambulizi la kushtukiza October 7, last year.

Achilia wanamgambo, hivi hukuona yule mmoja tu aliyewamaliza polisi wetu pale Dar? Hakuna vita ambayo inaweza ikapiganwa kwa muda mrefu, halafu upande mmoja kusitokee maafa kabisa. Labda kama unapigana na fisi. Kikosi special cha jeshi la Urusi, kule Kievy, kilipukutika na wengine kukimbia ovyo, na wengi wao waliuawa na wananchi wa kawaida wanaojua kutumia silaha.
 
So taifa la Mungu wanakufaje hapo ...Maana juzi tu nimeona kama wanne wamekufa tena ...
 
Mbona mnaficha ? Kwa hiyo taifa la Mungu hapo limeshinwa kuzuia maafa tena hao ni wanajeshi sio Raia baki , dhidi ya wanamgambo 😀 😀 😀
Sasa kama wewe upo Tandale na umemudu kuhesabu miili 700, kuna siri gani tena sehemu nyingine za dunia zinaweza zisiifahamu? Hilo ni suala la kisaikolojia tu 😀 😀 😀
 
Hivi vita sasa vimeingia kwenye tekinolojia nyingine kabisa. Yaani radio call unit yako inalipuka inakuua au kukujeruhi. Simu yako inalipuka na kukujeruhi au kukuua.

Tuombee wayahudi, wasijekwenda kuyafanya hata mavazi ya hezibollah yalipuke na kuua. La sivyo tuyawaona Hezbollah wikitembea uchi wa mnyama kuepuka kuuawa na mavazi yao wenyewe.

Mpaka hapa, wayahudi watakuwa wamewachanganya vibaya magaidi wa Hezibollah na mfadhili wao Iran. Watapigana vipi bila ya kuwa na mawasiliano? Na huko Iran, simu zao zikiingiliwa zikawa zinalipuka hovyo, watafanyaje?

Mfadhili wa Ugaidi Iran, alaaniwe vibaya. Bila ya yeye, wapalestina wangekuwa ama wanaishi kwa amani kama Taifa moja la Israel au wangekuwa na nchi yao kwa kadiri ya mwongozo wa UN. Iran na Misri wakawashawishi Wapalestina kuwa eti wasikubali, wao watawasaidia kuwafuta wayahudi Duniani. Mambo yalipokuja kuwa magumu, Misri akajisalimisha, ikawa nchi ya kwanza ya kiarabu kuwa na mahusiano ya kidiplomadia na Israel, akawaacha wapalestina wakiendelea kudanganywa na Iran. Baadaye Iran ikaishia kuwatengenezea makundi ya kigaidi yanayowaletea maafa wapalestina, Walebanoni, Wayemeni na Wasiria, kila wakati.
 
Lebanon hakukaliki maana hata laptop nazo zinalipuka Kama baruti.
Hezbollah Wana Hali ngumu Hadi wajipange tena na vita maana hatujui kesho kitatokea nini
Vitakapoanza kulipuka hata vyoo, tutawaona hezbollah wakijisaidia na kulala vichakani.
 
Sasa kama wewe upo Tandale na umemudu kuhesabu miili 700, kuna siri gani tena sehemu nyingine za dunia zinaweza zisiifahamu? Hilo ni suala la kisaikolojia tu 😀 😀 😀
BBC mbona hawasemi ?
 
Back
Top Bottom