Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Eti watu 9 mnatoa wapi uwongo wewe una uhakika leo watu 9 wamekufa umeitoa hio habari wapi.
 
Sibishani na mjinga asiye jua dini we bora tuongelee mambo ya vita. Sipotezi wakati wangu na 1=3
 
Netanyahu kasema kauli moja tu.. Kurejesh raia North na ndio dhamira akamaliza.. waombee wenzio POO wataisha kwa ubishi wao they think Allah anaweza kupigana na Netanyahu hahahahaha
Haya si anajidai ataweka ukuta kwenye mto Letani pale Lebanon haya yeye kama mwanaume ajaribu. Walishindwa 2006 wataweza 2024 😄

Nyie tulieni kipigo safari hi mtakiweka kwenye history.
 
12 wamekufa na maelfu wameachwa bila mbupu. Kizazi cha magaidi ndio basi tena
 

Milipuko imewekwa kwenye bikra huko ahera. Hadi Muddy this time atakwenda na maji. Anavyopenda kipochi manyoya🤣
 
 
Kwa taarifa yako, Israel wana akili kuwashinda hao wavimba macho wa China mbali sana na wachina ni mashahidi wa hilo.
 
Baada ya pager sasa walkie - talkies na baadaye itafuata pikipiki za hawa vikaragosi vya Iran wanazotumia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…