Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mimi baba Yako usiniite dogo kuwa na adabu basi hata kama upo nyuma ya keyboard hunioni kijanaSASA MBONA UMEPANIKI? MWACHE AOMBEE ANAOJISIKIA YEYE. WALA USIKASIRIKE DOGO HAYO MAMBO HAYATAKI HASIRAM
Ndugu yangu kipenzi cha Imaam Hussein ulikua wapi wewe nilikutafuta sana sikukuona muda humu mpaka nikawa naulizia yuko wapi Imam hussein jamaniπ€£Huu mziki Allah na Mudi wameshindwa. Ni wakati sasa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S aingilie kati kuleta amani ya kudumu.
Mcheki hapo chini kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa uislamu na waislam.
View attachment 3099695
Malaria 2 Al maktoum
Hahaha. Niko pia kama maghayo na the Mongolian Savage.Ndugu yangu kipenzi cha Imaam Hussein ulikua wapi wewe nilikutafuta sana sikukuona muda humu mpaka nikawa naulizia yuko wapi Imam hussein jamaniπ€£
Shmbulio la kwao mbona hawasemi lile bomu la juzi , limepiga kilometer kadhaa .Sasa ulitaka Israel iende Lebanon ikahesabu maiti?
Hawa wanajeshi zaidi ya 700 Mungu wa israel kashindwa kuzuia wasiuliwe na Hamas ,tena mgambo wa HamasHezbollah waseme wasiseme kichapo kiko pale pale
Wacha wee, Sasa Kama sehemu za Siri zimelipuliwa Ina maana huko aendako mabikra 72 wenye mitako ya haja atawaangalia tu. Anyway sheikh kipozeo alituhakikishia Kuna mito inayotiririsha pombe , Tena sio hizi pombe chungu za huku.Kuna wengine sehemu zao za siri zimeungua vibaya sasa sijui itakuwaje?!π
Hahaha mkuu kwani chupi zina batteries?Mpaka chupi zitalipuka
Kwani wamekuzuia na wewe kusema?Shmbulio la kwao mbona hawasemi lile bomu la juzi , limepiga kilometer kadhaa .
Kwa hiyo Taifa la Mungu limeshindwa kuzuia sio ? Hao wanajeshi 700 walioliwa na mgambo huoni ?Kwani wamekuzuia na wewe kusema?
Kumbe kutaja 700 ni rahisi hivyo, sasa ulikuwa unakwama wapi? π π πKwa hiyo Taifa la Mungu limeshindwa kuzuia sio ? Hao wanajeshi 700 walioliwa na mgambo huoni ?
Mbona mnaficha ? Kwa hiyo taifa la Mungu hapo limeshinwa kuzuia maafa tena hao ni wanajeshi sio Raia baki , dhidi ya wanamgambo π π πKumbe kutaja 700 ni rahisi hivyo, sasa ulikuwa unakwama wapi? π π π
Uwongo mtupu.Hezbullah huwa hafichi wale Israel askari zao wanawaita kuku na wale ma office wanawaita majogoo π
Ukisikia empty spaces ujuwe kuku wamekufa na ukisikia mabanda ujuwe jogoo wamekufa
Hao askari 700, karibia nusu yao, ni wale waliouawa kwenye shambulizi la kushtukiza October 7, last year.Mbona mnaficha ? Kwa hiyo taifa la Mungu hapo limeshinwa kuzuia maafa tena hao ni wanajeshi sio Raia baki , dhidi ya wanamgambo π π π
So taifa la Mungu wanakufaje hapo ...Maana juzi tu nimeona kama wanne wamekufa tena ...Hao askari 700, karibia nusu yao, ni wale waliouawa kwenye shambulizi la kushtukiza October 7, last year.
Achilia wanamgambo, hivi hukuona yule mmoja tu aliyewamaliza polisi wetu pale Dar? Hakuna vita ambayo inaweza ikapiganwa kwa muda mrefu, halafu upande mmoja kusitokee maafa kabisa. Labda kama unapigana na fisi. Kikosi special cha jeshi la Urusi, kule Kievy, kilipukutika na wengine kukimbia ovyo, na wengi wao waliuawa na wananchi wa kawaida wanaojua kutumia silaha.
Sasa kama wewe upo Tandale na umemudu kuhesabu miili 700, kuna siri gani tena sehemu nyingine za dunia zinaweza zisiifahamu? Hilo ni suala la kisaikolojia tu π π πMbona mnaficha ? Kwa hiyo taifa la Mungu hapo limeshinwa kuzuia maafa tena hao ni wanajeshi sio Raia baki , dhidi ya wanamgambo π π π
Vitakapoanza kulipuka hata vyoo, tutawaona hezbollah wakijisaidia na kulala vichakani.Lebanon hakukaliki maana hata laptop nazo zinalipuka Kama baruti.
Hezbollah Wana Hali ngumu Hadi wajipange tena na vita maana hatujui kesho kitatokea nini
BBC mbona hawasemi ?Sasa kama wewe upo Tandale na umemudu kuhesabu miili 700, kuna siri gani tena sehemu nyingine za dunia zinaweza zisiifahamu? Hilo ni suala la kisaikolojia tu π π π