Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
piga wote hao
waliambiwa mapema sana waache kushadadia hezbollah wakasema wanawasapoti, leo wanamlilia nani sasa?
Na mtu akiambiwa usifanye hivi. Halafu yeye akafanya kuonesha ukaidi,atapigwa. Nami nasema apigwe tu.waliambiwa mapema sana waache kushadadia hezbollah wakasema wanawasapoti, leo wanamlilia nani sasa?
itekelezwe baada ya kipig? KWANINI ilikuwa haitekelezwi kabla?UN Resolution 1701 itekelezwe.
Ilikuwa haitekelezwi kwa sababu ya ubabe wa Hezbollah lakini sasa Hezbollah kanyooshwa na yuko Weak.itekelezwe baada ya kipig? KWANINI ilikuwa haitekelezwi kabla?
How did you allow your country to be used by Terorist like no government? You should cooperated with Israel to hunt and destroy Hisbolah and then consolidate your territory!
Hahaha hizo Western news wana pindisha habari ni Hezbullah hakukubali eti Israel ndio hataki. Walijidai Hezbullah kakubali masharti ya Israel kumbe yote ni uwongo tu.#Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.
.
“[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its renewed targeting of the southern suburbs of Beirut with destructive raids, are all indicators that confirm the Israeli enemy’s rejection of all efforts being made to secure a ceasefire,” Mikati said in a statement.
Sasa kundi lina 30,000 strong force majeruhi hawafiki hata buku halafu wako weakIlikuwa haitekelezwi kwa sababu ya ubabe wa Hezbollah lakini sasa Hezbollah kanyooshwa na yuko Weak.
Wameanza kuomba Amani Silaha zao nyingi zimechomwa mahandaki yao mengi yamelipuliwa,Viongozi wao wote kasoro mmoja aliyekimbilia Iran wameuwawa.Sasa kundi lina 30,000 strong force majeruhi hawafiki hata buku halafu wako weak
Hahaha baada ya kuwa weak halaafu idf imeshindwa kuover run south lebanon huku miji ikiendelea kupigwa na drones za kutosha na kila siku casuality with average ya kifaru kimoja kuharibiwa kila siku kweli they are weak nakubali ila politically mdomo wa kiongozi Nasralllah na wenyewe ilikuwa ni silaha ya kisiasa ila kivita bado watu kama hezbollah wanasupply line ya kutoka iran ya silaha ni ngumu kuwamaliza au kumaliza silaha zao targeted assasination hazibadili ya front line aliuliwa katibu mkuu wa hizbullah Mousawi mwaka 1989 ila hizbullah ipo hadi leoWameanza kuomba Amani Silaha zao nyingi zimechomwa mahandaki yao mengi yamelipuliwa,Viongozi wao wote kasoro mmoja aliyekimbilia Iran wameuwawa.
Walebanon wa kawaida wamewachukia sana Magaidi wa Hezbola.
Ninaposema Hezbola wako weak sisemi mimi kama Imhotep ni Walebano wenyewe.
Wewe uko Kisarawe mimi nakwambia Walebanon wenyewe wanasema Hezbollah iko Weak baada ya mashambulizi.Hahaha baada ya kuwa weak halaafu idf imeshindwa kuover run south lebanon huku miji ikiendelea kupigwa na drones za kutosha na kila siku casuality with average ya kifaru kimoja kuharibiwa kila siku kweli they are weak nakubali ila politically mdomo wa kiongozi Nasralllah na wenyewe ilikuwa ni silaha ya kisiasa ila kivita bado watu kama hezbollah wanasupply line ya kutoka iran ya silaha ni ngumu kuwamaliza au kumaliza silaha zao targeted assasination hazibadili ya front line aliuliwa katibu mkuu wa hizbullah Mousawi mwaka 1989 ila hizbullah ipo hadi leo
Haya sie waafrika yetu macho na kuenjoy movie sie tunashabikia kama simba na yanga tu end of the day wanaolipa price ni raia wa lebanon na israel.
Lebanon hawako vitani ila Hezbula so Wana Haki#Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.
.
“[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its renewed targeting of the southern suburbs of Beirut with destructive raids, are all indicators that confirm the Israeli enemy’s rejection of all efforts being made to secure a ceasefire,” Mikati said in a statement.
NYIE JAMAA MUNGU ALIWAONDOLEA AKILI. AL JAZEERA NI WESTERN NEWS? Au hujui maana ya western news?Hahaha hizo Western news wana pindisha habari ni Hezbullah hakukubali eti Israel ndio hataki. Walijidai Hezbullah kakubali masharti ya Israel kumbe yote ni uwongo tu.
Huyo Mikati lazima acheze ki diplomas sababu Lebanon hataki kuonekana anapinga sheria za UN lakini the fact anaye amua vita kusimama ni Hezbullah sio Mikati.
Angalieni silaha alizo vunja Israel za Hezbullah
View: https://youtube.com/shorts/cJaWexj7p_o?si=hwHbLcFyDQy71Qhi
Tatizo ukipigana na kichaa, we unampiga penyewe kabisa yeye anarushia mawe wengine 😄
waliambiwa mapema sana waache kushadadia hezbollah wakasema wanawasapoti, leo wanamlilia nani sasa?