Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

Attachments

  • Screenshot_2024-11-01-19-57-31-137.jpg
    Screenshot_2024-11-01-19-57-31-137.jpg
    489.6 KB · Views: 3
Ilikuwa haitekelezwi kwa sababu ya ubabe wa Hezbollah lakini sasa Hezbollah kanyooshwa na yuko Weak.
wewe ndio unasema kanyooshwa, wao hezbollah wanasema hawajanyooshwa, wanasema wameinyoosha israel. actually, kusitisha vita sasaivi wakati haujawanyang'anya hezbollah silaha zote na haujavuruga njia za kuingizia silaha mpya, ni kujidanganya, ndio maana israel anataka apige na kupora silaya kama anavyofanya kwa hamas, ili wabaki bila silaha hapo ndipo vita ikome. wakibaki na silaha kesho tu hapa wataanza tena
 
😅😅ni sawa na hezibola wawe Ruvuma afu mgalatia anaenda kupiga magorofa dar
unapoandika vitu tumia akili , kama Hizbollah hagusw na mashambuliz ya Idf je Kwann Hizbollah hawasongi mbele ? Vitu vingine ni simple tu , hapo Msumbiji walikuja wamevaa kiraia na wakajichanganya na raia Kisha wakaua raia wema na kutokomea Msumbiji , hii ni mbinu ya hv vikundi kuish na kujenga kambi zao miongon mwa raia , Huwa wanqkwepo Kila sehemu hata hapa Tz wapo tusubir ipo siku sahihi kwao wataanza mapigo Yao ,hizbollah wapo Lebanon yote ila wameimalika zaid kusini ambapo wao ndo wanatawala Hilo eneo ila wapo Hadi Beirut
 
Back
Top Bottom