Lebron James and Bronny James Wameweka Historia NBA; Baba na Mtoto Kucheza pamoja

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns.

Bronny, on his 20th birthday, entered the court during the second quarter in a 118-114 defeat to the Suns.
1728289683671.png

View attachment 3117574
Huku kwetu unadanganywa kuwa usizae mapema bado unasoma..unastaafu utumishi wa UMMA wakati mwanao ndo anamalizia form six.
 
Firm six umejitahidi mbona,form two,lil wayne ana mjukui imagine,huku age mate wake ommy dimpoz hajawahi kuoa wala hana hata mtoto
 
Wamarekani ni kama wapemba au waha,wanaanzisha familia wakiwa wadogo sana,ukienda uchagan lebron james angekuwa na first born darasa la pili B
If that was the case basi hata kina Jordan, Magic na Shaq wote wangecheza na watoto wao..., alafu yeye kama ni 39 na mtoto ni 20 basi alimpata akiwa 19...
 
19 huku bado upo shule huna hata godoro.
Sio yeye tu asilimia kubwa ya Americans wanaanzisha familia wakiwa vijana sana,hata hao Uliowataja usikute wana watoto wakubwa ila hawapo kwenye tasnia ya baba zao
 
Kuwa na watoto sio tatizo, tatizo ni je watoto hao wana Kipaji kiasi gani..., nadhani hapa hadi wameweka historia ni kwamba mtoto mpaka anachipukia kucheza baba bado anacheza pia (sijajua kuhusu talent yake huenda jina la baba ndio linambeba)

View: https://youtu.be/KFi1Gq33OH4?si=RV0T9yjy-fiziqgj
 
We umeleta hoja nyingine sasa,Lebron ana miaka 39,kuwa na mtoto wa miaka 20 kwa bongo sio rahisi,watu wanachelewa sana kuanxisha familia,miaka 39 bongo mtoto hazidi miaka 15 kwa majority
Unastaafu kazi first born bado yupo shule
 
Aileta story za miaka na kuzaa mapema ni nani ? Wewe ndio umeleta hio Hoja mimi nikakwambia if that is the case basi kina Jordan, Shaq na watu wengi wengine wangecheza na watoto wao..., Au aliyebadilisha Hoja ni nani hapa ?
 
Kama watoto wao ni wa kike na hawapendi basketball?
 
LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns.

Bronny, on his 20th birthday, entered the court during the second quarter in a 118-114 defeat to the Suns.
View attachment 3117574
Dogo kikapu kimo au anafosiwa tu.
 
Firm six umejitahidi mbona,form two,lil wayne ana mjukui imagine,huku age mate wake ommy dimpoz hajawahi kuoa wala hana hata mtoto
Suala la mtoto ni majaariwa. Lakini huyo dimples hajaolewa? Wadada wa Dar wanaona kijitangaza ana dimples nayo itamsaidia kupata madanga?
 
Kama watoto wao ni wa kike na hawapendi basketball?
Angalia hio Video hapo juu niliyoweka.., kwahio unataka kusema of all the NBA players ambao kwa msemo wako wote wanapata watoto wakiwa wadogo bado unasema kwamba kuzaa kwao watoto wa Kike au kutokupenda Basketball ndio kigezo ? Mimi nakwambia kigezo ni Talent na bado kuvuka inticasies zote na utoboe bado ukute baba yake na yeye ni kipanga na wewe ni kipanga..., Ndio maana hata kwa huyu huenda Jina na Hype imembeba ila sio That bigger of a player....
 
Hata mtoto wa Dennis Rodman wa kike anakiwasha sana kwenye Ligi ya Kikapu ya Wanawake na mwingine wa kike anachezea soka na alikuwa timu ya Taifa ya Marekani ya Wanawake iliyibeba medali ya. Gold kwenye Olimpiki Ufaransa
 
Back
Top Bottom