Inapendeza sana,Nasikia hata yule Prof Assad aliyekuwa cag wakati akiwa Leacture hapo Udsm alikuwa analipia watu ada,ama mambo madogo madogo ambayo mwanafunzi wa hali ya chini anakuwa ameshindwa kuyapata,so walimu wenye upendo wa kujitoa wapo na iyo ndio faida ya kuwa mwema
Mshaanza ukabila[emoji1787]Kumbe huyo lect ni mparee? Woiiiiiiiiiiih.
Hapo wewe unazungumzia udini,mie nimesemelea kusaidia wanafunzi wenye hali ngumuAssad ni mujahiddin hivyo hakuwa anawalipia makafir bali alikuwa anawasaidia waislam wenzake wa MUSAUD!!!
Washinde mechi zaoo...Stress za maisha
hii comment yako mtu akisoma bila kutabasamu na ku-like atakuwa shetwaniHuyu mwalimu watu wanaohusika mimi nashauri wamwangalie kwa jicho la kipekee pengine anaweza akaja akatufaa sana kama kiongozi wa ngazi za juu ndani ya nchi yetu, huko mbele ya safari. Watoto wa rika hili huwa siyo rahisi sana wakampenda mtu kwa bahati mbaya tu; huyu mtu lazima atakuwa ana qualities za kipekee sana ambazo watu tulio wengi hatuna. Mungu ambariki sana mwalimu huyu
My guy….it’s the thought that counts.Wanafunzi zaidi ya 50 wametoa zawadi ya shati, mkanda na kiatu. Walichangishana shingapi?
Mie hata sio mpare, ila nawakubali San watu wa Kabila hilo.Mshaanza ukabila[emoji1787]