Ujenzi Tanzania
Member
- Mar 28, 2026
- 25
- 37
Nilitaka kumpekeka Mke wangu Chuo hikiHuu ni utangulizi tu ila nipo tayari kutoa Taarifa zaidi kuhusu huyu Manala T Mbumba kuhusu utapeli wake
Kijana usije ukawa umetumwa kuchafua watuUongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu .
Lecturer wa NIT ambaye anaitwa Manala T Mbumba, ametutapeli pesa za leseni zaidi ya Wanafunzi miamoja tuliokuwa tunahitimu mwaka huu na ambao tunaingia mwaka wa tatu.
Alikuja chuoni kupitia kwa CR wa kozi mbalimbali na kutangaza offer ya mafunzo ya Udereva yanayoambatana na Leseni.
Mafunzo Alisema ni 170K na Leseni 70K
Baada ya kumpa hizo pesa ni miezi takribani minne hatujapata leseni.
Tulianza kujua ametutapeli baada ya kufunga magroups ya Whatsapp
Na pia kutuambaia hakuna Vyeti wala leseni.
Utapeli huu ameufanya kwa kutumia nembo ya chuo cha NIT akishirikiana na mke wake anayeitwa Georgina Shirima na Rafael Sungura.
Historia inaoensha sio mara ya kwanza anatepeli watu huyu Manala T Mbumba hii imekuwa tabia yake .
Tunaomba TRA na uongozi wa NIT kupitia mkuu wa chuo na Jeshi la police, mtusaidie kupata haki yetu.
Maana wengi tulijinyima pesa zetu ili tupate mafunzo ya Udereva hapo katika shule yake ya Udereva ila tumeishiwa kutapeliwa .
Jina la Shule yake ya Udereva linaitwa Essence Driving School
Ana Tawi Mabibo , Goba na Tegeta.
Huu ni utangulizi tu ila nipo tayari kutoa Taarifa zaidi kuhusu huyu Manala T Mbumba kuhusu utapeli wake
Haihusiani na chuo hiyo ni scandal binafsiNilitaka kumpekeka Mke wangu Chuo hiki
TRA police TanzaniaUongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu .
Lecturer wa NIT ambaye anaitwa Manala T Mbumba, ametutapeli pesa za leseni zaidi ya Wanafunzi miamoja tuliokuwa tunahitimu mwaka huu na ambao tunaingia mwaka wa tatu.
Alikuja chuoni kupitia kwa CR wa kozi mbalimbali na kutangaza offer ya mafunzo ya Udereva yanayoambatana na Leseni.
Mafunzo Alisema ni 170K na Leseni 70K
Baada ya kumpa hizo pesa ni miezi takribani minne hatujapata leseni.
Tulianza kujua ametutapeli baada ya kufunga magroups ya Whatsapp
Na pia kutuambaia hakuna Vyeti wala leseni.
Utapeli huu ameufanya kwa kutumia nembo ya chuo cha NIT akishirikiana na mke wake anayeitwa Georgina Shirima na Rafael Sungura.
Historia inaoensha sio mara ya kwanza anatepeli watu huyu Manala T Mbumba hii imekuwa tabia yake .
Tunaomba TRA na uongozi wa NIT kupitia mkuu wa chuo na Jeshi la police, mtusaidie kupata haki yetu.
Maana wengi tulijinyima pesa zetu ili tupate mafunzo ya Udereva hapo katika shule yake ya Udereva ila tumeishiwa kutapeliwa .
Jina la Shule yake ya Udereva linaitwa Essence Driving School
Ana Tawi Mabibo , Goba na Tegeta.
Huu ni utangulizi tu ila nipo tayari kutoa Taarifa zaidi kuhusu huyu Manala T Mbumba kuhusu utapeli wake
Uongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu .

Msomi chuo kikuu unatapeliwa kizembe? Sasa hawa wanaojifanya wafanyakazi wa mix , vodacom sio watakumalizeni kabisa?Uongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu .
Lecturer wa NIT ambaye anaitwa Manala T Mbumba, ametutapeli pesa za leseni zaidi ya Wanafunzi miamoja tuliokuwa tunahitimu mwaka huu na ambao tunaingia mwaka wa tatu.
Alikuja chuoni kupitia kwa CR wa kozi mbalimbali na kutangaza offer ya mafunzo ya Udereva yanayoambatana na Leseni.
Mafunzo Alisema ni 170K na Leseni 70K
Baada ya kumpa hizo pesa ni miezi takribani minne hatujapata leseni.
Tulianza kujua ametutapeli baada ya kufunga magroups ya Whatsapp
Na pia kutuambaia hakuna Vyeti wala leseni.
Utapeli huu ameufanya kwa kutumia nembo ya chuo cha NIT akishirikiana na mke wake anayeitwa Georgina Shirima na Rafael Sungura.
Historia inaoensha sio mara ya kwanza anatepeli watu huyu Manala T Mbumba hii imekuwa tabia yake .
Tunaomba TRA na uongozi wa NIT kupitia mkuu wa chuo na Jeshi la police, mtusaidie kupata haki yetu.
Maana wengi tulijinyima pesa zetu ili tupate mafunzo ya Udereva hapo katika shule yake ya Udereva ila tumeishiwa kutapeliwa .
Jina la Shule yake ya Udereva linaitwa Essence Driving School
Ana Tawi Mabibo , Goba na Tegeta.
Huu ni utangulizi tu ila nipo tayari kutoa Taarifa zaidi kuhusu huyu Manala T Mbumba kuhusu utapeli wake
Itakuwa wametuma pesa moja kwa moja kwa namba ya simu ambayo imesajiliwa kwa jina la chachea chwachaikiwa ni kweli.. fungueni kesi mahakamani mkiwa na vielelezo vyote bila kusahau kila mmoja wenu stakabadhi yake ya malipo kukomesha utapeli usiendlee.. hela ni imekuwa ngumu sana mtaani kupatikana.
Mlitakiwa kuwauliza NIT Management, Police na TRA kabla mjiridhishe iwapo anachokifanya ni sahihiTunaomba TRA na uongozi wa NIT kupitia mkuu wa chuo na Jeshi la police, mtusaidie kupata haki yetu.
Mtoa mada ana lake jambo siyo bure, ukienda pale NIT mitaa ya Mabibo mwisho wale walimu wengi wa NIT mambo ya Udereva wana vituo vyao binafsi ambavyo wanakufundisha udereva na wanakupa cheti tu Ila leseni unaenda kuchukua TRA. Kwa nlivomuelewa mtoa mada ni kwamba yeye katapeliwa kituo cha Essence driving School kinachomilikiwa na mwalimu wa NIT.Umewasilisha malalamiko yako katika uongozi wa chuo?
Kama ndiyo wamechukua hatua gani?
TZ Wizi kila konaChuo cha Arusha wanachukua rushwa wazi wazi kabisa na usipotoa rushwa sidhani kama utapata hiyo Leseni yao mimi waliitoa E nilikua sina cheti ila C na madaraja mengine cheti kipo nilipoenda kuuliza kwanza wanasema nisome wiki mbili au wana kidampa wao anakusanya hela ili uende siku ya kupiga picha na test tu nikaachana nao kwa sababu daraja E sio kipaumbele changu kwa Tanzania ingawaje nina leseni ya kaburu ina code 14 sawa na hiyo E yao..
Tanzania kila kitu deal aisee..
Nilipoona tu Georgina Shirima nikajua tu comment Kama hii lazima itakuwepo.Ningeshangaa sana kma nisingeona mchaga kwenye huo utapeli