Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Zinaitwa degree za chupi. Zimejaa sana mitaani ndio maana unakutana na graduate hata kujieleza tu shida.

Kiingereza chenyewe kinatia kichefuchefu. Unajiuliza huyu mtu alifaulu vipi mpaka kapata GPA ya 4? Then ghafla unakumbuka kumbe kuna degree za vyupi.
Wakati mwingine ma-lecturers wanafanya kazi yao kwa usahihi kabisa, ila wale vijana wanaofanya kazi ofisi ya msajili wa chuo ndio wanaokuja kuharibu matokeo kwa kuya-edit na kuzawadiwa mzigo na hawa dada zetu wanaopenda mserereko!
 
Kwa uhalisia tatizo ni kubwa kuliko kawaida, ila vyuoni mambo haya yana sababu nyingi nyuma yake.

Wapo ma lecturers wanapenda totoz pia kuna totoz huwa zinapenda mkuno na zingine huwa hazijui kukataa, hapa hakuna uhusiano wowote wa tendo na rushwa.

Tatizo kubwa linaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu kuanzia primary mpaka advance, anafika university kichwani ni mweupe huyu anaachaje kutoa rushwa ili apate GPA ya kueleweka.

Tunaweza kufanya mabadiriko kidogo lecturers wa kike wakawa wengi kuliko wa kiume labda inaweza kunguza kidogo ukubwa wa tatizo, lakini vipi kama hao lecturers wa kike nao ni zao la rushwa ya ngono?
 
Dada zenu / Mabinti zenu 'Watatiwa' sana na Wahadhiri ( Lecturers ) hadi wakome kwani Kutokuwa Kwao na Akili na Kutopenda Kusoma ndiko Kunawagharimu na nasisitiza tena kuwa 'Watakazwa' mno tu huko Vyuoni.

Yaani Mhadhiri uko busy unafundisha mbele huku hata Usiku hujalala vyema kwa ajili ya Kuandaa Somo halafu unawaona Watoto wa Kike wanachati na Vibwana vyao huku wakiwaangalia tu akina Diamond, Harmonize, Nandy na Zuchu na Kujadiliana Umbea mtupu tu halafu anataka umpe 'Maksi' kiuwepesi.

Watapigwa 'Pumbu' ile mbaya mpaka Akili za Kupenda Kusoma ziwajie ( ziwarudie ) Kudadadeki. Kwanza mmeshajiuliza kwanini Wanafunzi ( Wanavyuo ) Werevu wa Kike huwa hawasumbuliwi hovyo na Wahadhiri ( Lecturers ) Vyuoni?

Wahadhiri wa Kiume Vyuoni heko sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad.

Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi kwa hali hii Ukimwi utapungua kweli kwenye Vyuo

Wazazi waombeeni Binti zenu nyie ndo mtakaokuja kuteseka nao baadaye.

HALI NI MBAYA SANAA [emoji21]
What’s wrong with Girls of this Generation Asee Wanapenda slope sana.

Na wewe kula dada zao au wadogo au watoto wao !!
 
Hizi degree za chupi zinatusumbua sana huku maofisini kazi zenyewe hawawezi. Kutwa majungu na masafari tu ruhusa mwanzo mwisho matatizo ya kifamilia.
Sio matatizo ya kifamilia, wanakimbia ofisi, kazi hawawezi.
 
Yaani maofisini ndiyo majanga! hawajui kitu! Hata huko Kazi ni hiyo2 kwenda na maboss wao. Wakati wote ni ruhusa naumwa Mimi/mtoto/sijisikii kufanya Kazi/tumbo la chini linaniuma/naenda kupima chango sijui linataka mtoto nk.

Ndiyo maana weupe hawatakagi kabisa kuajiri Hawa jamaa! Halafu wanawaelekeza kuajiri 50/50! Only in Africa.
Subiri utendaji wa wateule vodafasta walioapishwa tangu SSH achukue nchi. Mteule anaingia ofisini hata office protocol hajui, ukigonga hodi anaamka kuja kukufungulia mlango.
 
Tatizo mabint wenyewe ndio wanao taka mteremko wanataka GPA nzuri bila kujituma kusoma hivyo usitegemee wadada watoe ushirikiano katika hilo wakati wao ndio mara nyingi huwa wagitaji wakuu kwa kupenda kufanikiwa pasipo kuumia.

Ndio maana degree za sasa tenanhasa mabinti ni za hovyo na hazina hata uhalisia ni bora hata darasa la pili maana ni mambumbumbu pamoja na kuwa na degree
Na vijana wa kiume nao wakisha jua Binti analeta paper hawasomi, wanasubiri, kwani atawaletea kwani majibu huwa hana uwezo wa kuyamudu.
 
Na hii ndio sababu unakuta binti ako na hata masters lakini hata kuongea, kuandika na kusoma english shida tupu, kuna shida kubwa sana, na ndio unaona most graduates are just idle, are not creative, neither are they innovitive, na wanakaa tu mutaani , hawajui mbele wala nyuma, mimi as an employer i do and research very very well when hiring a lady graduate, all in all, ni kubaya

kwan English ndo elimu pekee iliyobaki Bongo? mbona lugha zipo kibao?
 
Back
Top Bottom