TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Serikali ndo inalea uchafu huu. Ingeweza kuweka vijana wake kufuatilia kwa siri, akibainika anafukuzwa tu kazi na kutangazwa wazi.
Kwa upande mwingine vibinti vyetu vinatumia muda mwingi kustarehe badala ya kusoma. Hivi vibinti pia ni tatizo. Na kwa kuwa anajua akivua chupi anapata alama, basi wamejilegeza hadi basi.
Ukisema watoto wa kike ni shida utasikia wapewe nafasi wanaweza.
Hata mtaani,ukiona demu ana kazi nzuri, usafiri wa nguvu na biashara nzuri ndani ya muda mfupi, jua kashavua chupi.
Nipigwe tu mawe ila nimeshasema. I log off.
Ndio hapo utakapogundua kwamba pengine tatizo sio sisi wanaume, ndio maana nikasema tatizo tunalijua ila tunalizunguka!
Mimi nilichogundua, hawa wenzetu wanawake wana shida na mara zote wanapenda ku play victims hata pale ambapo wao ndio tatizo.
Mfano hapa utawaona wakilalamika ooh malekchara wanawatafuna.. ooh wanalazimishwa. Haya, tuseme ni kweli kwamba malekchara wanawalazimisha kwavile wao ndio wameshika rungu.
Je mitaani huku ambako wanawake wanagawa uroda kama njugu, nako ni nani anawalazimisha? Wake za watu wanatafunwa kila upande na madereva bodaboda, waosha miguu, wauza urembo, mashamba boy, walinzi nk je hao hua wanawalazimisha? Wamama watu wazima kabisa wanatafunwa mbayaa na vijana wadogo, nao wanalazimishwa? Maofisini huko wadada wanaliwa na co-workers (wala sio mabosi), kwenye nyumba za kupanga wadada wanatafunwa na wapangaji wenzao, nao wanawalazimisha? Makanisani huko wadada wanaliwa na wachungaji, waumini wenzao, nk je nao wanawalazimisha?
Kiufupi tuseme tu wanawake wenyewe wa sasa wanapenda sana kuliwa hakuna cha lekchara wala nani. Sema wenyewe kutwa kutafuta visingizio oooh tunalazimishwa, oooh tunatekiwa advanteji..
NONESENSE!