mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Naunga mkono hoja...Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper Kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao Sasa hivi ndo imeshamiri aswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad.
Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi Kwa hali hii Ukimwi utapungua kweli kwenye Vyuo Wazazi waombeeni Binti zenu nyie ndo mtakao kuja kuteseka nao baadae.
HALI NI MBAYA SANAA [emoji21]
What’s wrong with Girls of this Generation Asee Wanapenda slope sana
Tena nasikia lecture akimwagia ndani ndy unapata alama za juu zaidi...