Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Kama ni kweli kina mama tuna Hali mbaya mana mzigo wa mtoto mpumbavu hutupiwa mama[emoji24]
Kwa nini unasema KAMA NI KWELI! Ina maana wewe hujui haya mambo na upo hapa hapa bongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli kina mama tuna Hali mbaya mana mzigo wa mtoto mpumbavu hutupiwa mama[emoji24]
Watoto wa chuo halafu 80% yao ndani ya miaka walioko masomoni wanachomoa mimba kati ya 2-3
Wamekamatwa wengi... NIT, ATC, UDSM... Mtafute Madam mmoja pale Udsm anaitwa Shule ni alikuwa ana pambana na hili janga pale udsm nazani mpaka sasa, kama jamii Inge muunga mkono basi angalau kitu kikubwa kinge tokea
Ndio maanake mzeeIna maana shughuli huwa inatembea kavu kavu bila kofia?
mabinti wenyewe wanajirahisisha kwa wakufunzi, unakuta binti hasomi kafeli test one kafeli test two na group assignment huenda hajahudhuria.
Anamfuata mkufunzi na kumwambia mwalimu naomba nisaidie kunipa coursework nzuri jaman.Nipo tayari kwa lolote lile mwalimu jamaan. Nakuahidi.
Na sisi wanaume kama tujuanavyo ukishaskia hivyo baas kichwa cha chini kinaanza kufanya kaz cha juu kinakuwa kimevurugwa.
Na log out[emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli basi serikali haijawahi kufanya juhudi za makusudi kukomesha hii hali,maana mimi nimeyasikia haya mambo kwa miaka mingi sana lakini sijawahi kusikia lecturer au mwanafunzi kakamatwa...
Anakufelishaje? Hebu acha kupayuka kama mwehu!!!!
Chuo gani hicho Lecturer anafelisha mwanafunzi makusudi?
Unajua kwamba kila chuo kina idara ya QAB (Quality Assurance Bureau)? Unajua ina kazi gani?
Tatizo hao dada na wadogo zenu hawapendi kusoma,Muda wote Instagram na YouTube kufuatilia maisha ya mastar.
UE zinapokaribia wanajikuta Wana vitu vingi vya ku cover na hapo utakuta mtu ame skip vipindi vingi.
End of the day wanashauriana waende kwa lecturer wakapewe favorite.
Na Kama mnavojua ndugu zangu 'tunda' halina mbabe Wala mtaalamu wa kulikataa unless otherwise huyo lecturer awe na uwalakini.
Tutafuteni tiba ya hili tatizo kwa kuwa likiachwa litazidi kuwa kubwa na mwisho jamii itachukulia ni kawaida tu,tufanyeni nini tuliondoe hili tatizo?jiangalie ww na jamii yako inayokuzunguka!kama sio ww basi atafanyiwa mwanao na kama sio mwanao atafanyiwa dada yako na kama sio dada yako bc atafanyiwa mkeo je tunafanyaje kuiondoa hii hali ili ibaki kuwa vyuoni ni sehemu salama kwa jamii hii ya kike?hebu tusaidiane ktk hili ili watoto wetu wawe salama.
Mlio na madada vilaza hii mada inawahusu.
Hata hivyo nimeona watu wanamwaga nyongo sana kana kwamba kuna la ziada na machungu ya ziada juu ya wadada vilaza na wavivu makazini.From my experience,wakaka ni mambumbu zaidi nilipopita!.
Elezea kidogo kuhusu wakaka na mada husika!Mlio na madada vilaza hii mada inawahusu.
Hata hivyo nimeona watu wanamwaga nyongo sana kana kwamba kuna la ziada na machungu ya ziada juu ya wadada vilaza na wavivu makazini.From my experience,wakaka ni mambumbu zaidi nilipopita!.
Unafundisha Chuo gani?Hiyo Bureau huchukua sample ya watahiniwa tu wala haipitii karatasi za kila mtahiniwa!
hatari sana hiiTo be honest tunahitajika kuzungumza mno na hawa wasichana huko chuoni
Wanajirahisi kupita kiasi
Malecturer nao ni wanaume mashababi kuruka mitego ya hao wabinti ni Neema za Mungu
Yaani nawahurumia hao watakaotarajia kuoa hichi kizazi kilichopo chuo kwa sasa
Wanatumika mno jamani
Mkuu malizia tu..tupate mbivu na mbichi.Watu wanadhani tatizo lipo kwa ma-lecturer la hasha! hawa mabinti wa sasa ni matatizo. Marafiki zangu ambao ni wahadhiri wanakutana na mitego mingi mnoo kutoka kwa hawa mabinti.
Ngoja niishie hapa!
Sasa wewe hoja yako ipi?mbona hueleweki.?Acheni kutukana mabinti za watu fala nyie roho mbaya inawasumbua na diploma zenu mtoto wa watu kafaulu kamaliza degree kisa mzr unasema degree vichupi nasema hivi acheni wivu wa kijinga na nyie toeni utamu wenu mpewe hizo digriii shezi sana.Watoto wanasoma wakike wapo vzr acheni mawazo mgando.
Mtaje jina na chuo..bila hivyo utakua mnafiki tu.Kuna lecturer yupo chuo x Mwanza kazi yake ni kuwatafutia wanafunzi sup na carry za lazima uongozi unajua ujinga huu ila wako kimya
Niajiri na Mimi boss wanguNa hii ndio sababu unakuta binti ako na hata masters lakini hata kuongea, kuandika na kusoma english shida tupu, kuna shida kubwa sana, na ndio unaona most graduates are just idle, are not creative, neither are they innovitive, na wanakaa tu mutaani , hawajui mbele wala nyuma, mimi as an employer i do and research very very well when hiring a lady graduate, all in all, ni kubaya