Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Unakoseka kuwaita mabinti hao ni Wanawake kwa sababu usichana walishatolewa siku nyingi kutoka huko shule msingi, Vyuoni wanaingia kama wanamke asiyeolewa.

Kwanza kabisa wanawake wa Kibongo ni wavivu kupita maelezo kazi yao kubwa in kuonyesha waliovyo warembo hata kama si warembo, hawasomi kabixa, lazima wawe chakula cha wahadhili kwa mtindo huo.

Bado Nashaanga wanaume bado wanaoa wanawake hawa walioishi na wanaume kama kimada kwa zaidi ya miaka mitatu wakiwa vyuoni halafu wewe ndo unachukua na kuoa kwa mahari kubwa. Hii nafikiri haikubali kabixa, nyie wanaume acheni uzwazwa.
 
Hapo kwenye kiingereza inagusa pande zote. Sasa hawa wakiume wenye mapungufu hayo hizo degree zao sijui wanazipateje.

Ngoja nitafanya utafiti.
Usitafute utafiti utachanganyikiwa wallah, yanayoendelea vyuoni ni JAH asaidie tyuuh, vijana wanaharibiwa na hakna namna.
 
Sasa sahivi kibachofanyika vyuoni, sio watoto wa kiume wala wa kike wote wanapitia changamoto 1, na hivi hapa nchini kuna unafiki ipo siku kila kitu kitakua wazi.
Yani ni shida kweli huwa kukomoana tu vile wahadhiri Wana power kubwa sana. Mwanangu nitamtaftia chuo nje ya nchi. Nikikumbuka chuoni tulikuwa tunasoma na foreigners na walikuwa wanapendelewa licha ya kutokuwa smart ila wengi shule zilikuwa zinawashunda kwa sababu ya system za ku complicate mno
 
Yani ni shida kweli huwa kukomoana tu vile wahadhiri Wana power kubwa sana. Mwanangu nitamtaftia chuo nje ya nchi. Nikikumbuka chuoni tulikuwa tunasoma na foreigners na walikuwa wanapendelewa licha ya kutokuwa smart ila wengi shule zilikuwa zinawashunda kwa sababu ya system za ku complicate mno
Tatizo la chuoni shida sio mwaanafunzi, ila lecturer ndo tatizo, mwanafunzi unaweza kuwa vizuri ktk upande wa taaluma, ila lecturer anakufelisha kusud ili apate chance ya kufanikisha lengo lake, na anajua mwanafunzi hawezi fanya chochote.

Vijana wa kiume wanavoharibika chuoni, hadi inasikitisha kwa kweli.
 
Serikali sijui ipo wapi katika hili? Ni miezi miwili sasa nilileta uzi wa mie kutokuoa huku nikilia na kuumia.Ukweli ni kwamba huyo binti kafanya na Lecturer wa UDSM ambaye pia ana sessions pale DUCE anaposoma binti.Namfahamu kwa jina moja tu mkufunzi huyo.Siwezi mfanyia lolote kwasababu inawezekana walikubaliana na si kwa mashinikizo.Nimesonga mbele na maisha yangu kwa kukaa kimya.

Swali nalojiuliza;
Je,huyu binti ana uhakika kuwa ataolewa na huyo mkufunzi?Ana nia ya dhati kama niliyokuwa nayo?
Kwakweli nabaki namhurumia huyu binti sana,acha aijue Dunia ilivyo.
Refer:

Hawa wanawake wehu, hawanaga msimamo
 
mabinti wenyewe wanajirahisisha kwa wakufunzi, unakuta binti hasomi kafeli test one kafeli test two na group assignment huenda hajahudhuria.

Anamfuata mkufunzi na kumwambia mwalimu naomba nisaidie kunipa coursework nzuri jaman.Nipo tayari kwa lolote lile mwalimu jamaan. Nakuahidi.

Na sisi wanaume kama tujuanavyo ukishaskia hivyo baas kichwa cha chini kinaanza kufanya kaz cha juu kinakuwa kimevurugwa.

Na log out[emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha tu! Hata watawa wanaathirika. Kama ni daktari si atauwa badala ya kutibu!
 
Kama ni kweli basi serikali haijawahi kufanya juhudi za makusudi kukomesha hii hali,maana mimi nimeyasikia haya mambo kwa miaka mingi sana lakini sijawahi kusikia lecturer au mwanafunzi kakamatwa...
 
Yaani maofisini ndiyo majanga! hawajui kitu! Hata huko Kazi ni hiyo2 kwenda na maboss wao. Wakati wote ni ruhusa naumwa Mimi/mtoto/sijisikii kufanya Kazi/tumbo la chini linaniuma/naenda kupima chango sijui linataka mtoto nk.

Ndiyo maana weupe hawatakagi kabisa kuajiri Hawa jamaa! Halafu wanawaelekeza kuajiri 50/50! Only in Africa.
Kuharibika kimaadili kwa mtoto wa kike ni kushindwa kwa mwanaume kutumia mamlaka yake ya kiuongozi na kiutawala, anayetakiwa kutoa directives za kimaadili na kimalezi kwa mtoto wa kike na kiume ni nani? Let say, lecturer aliyetembea na mwanafunzi wa kike jinsia yake ni ipi? don't cast your blames to ladies na mi thread yenu ya kijinga jinga namna hii wakati nyie wenyewe ndo mnaowajibika kuondoa tatizo lenyewe.....haya wanaume wote tujipigepige kifuani tuseme kibwagizo hiki 'Sisi wanaume ni wajinga sana' rudia mara tano......
 
Tatizo la chuoni shida sio mwaanafunzi, ila lecturer ndo tatizo, mwanafunzi unaweza kuwa vizuri ktk upande wa taaluma, ila lecturer anakufelisha kusud ili apate chance ya kufanikisha lengo lake, na anajua mwanafunzi hawezi fanya chochote.

Vijana wa kiume wanavoharibika chuoni, hadi inasikitisha kwa kweli.
Na ndio hutumia huo udhaifu kukukomesha na hivi hakuna wakuhoji in short hyo tabia ni mbovu na ni kichefu chefu mno kwa kweli
 
Mods. napendekeza hii thread isomeke hivi "Sisi ma-lecturer wanaume tumekuwa wajinga sana kuwataka wanafunzi wa kike kimapenzi" halafu mjadala uanze upya....
 
Zinaitwa degree za chupi. Zimejaa sana mitaani ndio maana unakutana na graduate hata kujieleza tu shida.

Kiingereza chenyewe kinatia kichefuchefu. Unajiuliza huyu mtu alifaulu vipi mpaka kapata GPA ya 4? Then ghafla unakumbuka kumbe kuna degree za vyupi.
Vipi wale wavulana wenye GPA 4.0 na ni mbumbumbu kama mbumbumbu wengine?
 
.... ila lecturer anakufelisha kusud ili apate chance ya kufanikisha lengo lake, na anajua mwanafunzi hawezi fanya chochote.
Anakufelishaje? Hebu acha kupayuka kama mwehu!!!!

Chuo gani hicho Lecturer anafelisha mwanafunzi makusudi?

Unajua kwamba kila chuo kina idara ya QAB (Quality Assurance Bureau)? Unajua ina kazi gani?
 
Hili suala ni gumu sana kulizungumzia kwa upande mmoja ila ukweli ni kuwa hawa wanafunzi wa kike kama sio asilimia 90 basi ni 98. Ni weupe mno Vichwani mwao, ni weupe hasaa! Bure kabisa hawa mabinti. Utamkuta yupo busy na vitu visivyokuwa na msingi wowote kwenye maisha yake na anavishadadia hatari ila mgusie kwenye mambo ya shule, atakwambia maksi ntapata tu mi mtoto wa kike.

Mwisho wa siku anapata kweli. Kiukweli inatia uchungu sana kwa haya ninayoyaona huku niliko, nipo jirani kabisa na chuo cha TIA Kurasini. Mambo wanayoyafanya huku kiukweli hapana aisee, na hiki chuo elimu ya hapa ilivyokuwa rahisi ndio kabisaaa! Wanakuwa wanaalikana tu huku mteremkoni.
 
K
Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper Kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao Sasa hivi ndo imeshamiri aswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad.

Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi Kwa hali hii Ukimwi utapungua kweli kwenye Vyuo Wazazi waombeeni Binti zenu nyie ndo mtakao kuja kuteseka nao baadae.

HALI NI MBAYA SANAA [emoji21]
What’s wrong with Girls of this Generation Asee Wanapenda slope sana
Kwani hawatumii kinga?
 
To be honest tunahitajika kuzungumza mno na hawa wasichana huko chuoni

Wanajirahisi kupita kiasi
Malecturer nao ni wanaume mashababi kuruka mitego ya hao wabinti ni Neema za Mungu

Yaani nawahurumia hao watakaotarajia kuoa hichi kizazi kilichopo chuo kwa sasa

Wanatumika mno jamani
Wakiolewa ndio wanaita waume zao vibamia.
 
Back
Top Bottom