Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Unawezaje kusoma chuo kikuu kinachotumia kiingereza kama medium of instruction bila kujua kiingereza?Kwani degree na kiingereza vinahuusiano gani.. basi wananchi wate wa uwingereza wanadegree wale..
Hili ni swala la kimaadili zaidi na halihusiani na lugha.
Je research/thesis yako unawezaje kuiandaa na kufaulu bila kujua hicho kiingereza?
Hapa ndio madhaifu ya elimu yetu ya bongo yanapoonekana na ndio maana tunakosa credibility nje ya nchi. Haiwezekani graduate amefanya research amepata A+ halafu kiingereza hajui. Hapo lazima kuna walakini.
Ni sawa na wale watoto mtu anamaliza form four hata kuandika na kusoma hajui. Huo ni wenda wazimu.
Kwahiyo nyie graduates mnaosema degree haina uhusiano na lugha basi inabidi mkapimwe akili na mkojo. Maana inawezekana kama sio mna mtindio wa ubongo basi kuna madawa mnatumia ambayo hayafai.