T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Nilipokuwa field nimeenda ofisi flani nikakuta mwanamke mmoja ndio CPA wengine ni accountants wa kawaida ila yeye ndiye ana performance ndogo kuliko wote na ndiye hajui mambo kuliko wengine. Sasa nikashangaa hiyo pisi kali ilipataje kuwa CPA wakati kuna mchakato mkali. Nilikaa ile ofisi kwa mwezi mzima ila sikuona mchango wake, yani alikuwa na dharura nyingi mno na anakuja wa mwisho ila kuondoka wa kwanza.na hii ndio sababu unakuta binti ako na hata masters lakini hata kuongea , kuandika na kusoma english shida tupu,kuna shida kubwa sana, na ndio unaona most graduates are just idle, are not creative, neither are they innovitive, na wanakaa tu mutaani , hawajui mbele wala nyuma, mimi as an employer i do and research very very well when hiring a lady graduate, all in all, ni kubaya