Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Wakati mwingine ma-lecturers wanafanya kazi yao kwa usahihi kabisa, ila wale vijana wanaofanya kazi ofisi ya msajili wa chuo ndio wanaokuja kuharibu matokeo kwa kuya-edit na kuzawadiwa mzigo na hawa dada zetu wanaopenda mserereko!
 
Kwa uhalisia tatizo ni kubwa kuliko kawaida, ila vyuoni mambo haya yana sababu nyingi nyuma yake.

Wapo ma lecturers wanapenda totoz pia kuna totoz huwa zinapenda mkuno na zingine huwa hazijui kukataa, hapa hakuna uhusiano wowote wa tendo na rushwa.

Tatizo kubwa linaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu kuanzia primary mpaka advance, anafika university kichwani ni mweupe huyu anaachaje kutoa rushwa ili apate GPA ya kueleweka.

Tunaweza kufanya mabadiriko kidogo lecturers wa kike wakawa wengi kuliko wa kiume labda inaweza kunguza kidogo ukubwa wa tatizo, lakini vipi kama hao lecturers wa kike nao ni zao la rushwa ya ngono?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe kula dada zao au wadogo au watoto wao !!
 
Hizi degree za chupi zinatusumbua sana huku maofisini kazi zenyewe hawawezi. Kutwa majungu na masafari tu ruhusa mwanzo mwisho matatizo ya kifamilia.
Sio matatizo ya kifamilia, wanakimbia ofisi, kazi hawawezi.
 
Subiri utendaji wa wateule vodafasta walioapishwa tangu SSH achukue nchi. Mteule anaingia ofisini hata office protocol hajui, ukigonga hodi anaamka kuja kukufungulia mlango.
 
Na vijana wa kiume nao wakisha jua Binti analeta paper hawasomi, wanasubiri, kwani atawaletea kwani majibu huwa hana uwezo wa kuyamudu.
 

kwan English ndo elimu pekee iliyobaki Bongo? mbona lugha zipo kibao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…