Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kiongozi tenses ndio ugonjwa wa tuliowengiNipo pembeni apa napitia makosa yatakayo jitokeza kweny huu ufundishaji....... Kwa ulipo anzia sio mbaya na upo sahihi kabisa ilivyoelezea............ Japo maoni yangu ungeanzia kwenye TENSES mana hapo ndo kilipo ki english... Kwa nini ungeanzia hapo? Kwa sababu uliyoeleza leo yapo ken topic ya form six SPEAKING na kwa vile namin kila aliyepo uku anajua kusoma basi tenses ingekuwa njema zaidi ..........huwezi ku communicate bila kujua nyakati vzr ambazo ndo imekuwa mziz wa ki english.....Hata kujua grammar unahitajika uwe na kitu kinaitwa COMPETENCE and PERFOMANCE.....sasa utajuaje bila kujua tenses... Lkn kama umachukulia wote walioko huku wanajua tenses vzr basi sawa, ila tenses ni tatizo sana kwenye ki english cha wabongo ukisikiliza presentation zao N.B ni maoni yangu tu
Unaonaje ungeanzisha uzi wa hizo Tenses ili uendelee kufundisha watu huku,kuliko kudandia dandia na kukatisha watu tamaa, eti nasubiri ukosee,pumbavu wewNipo pembeni apa napitia makosa yatakayo jitokeza kweny huu ufundishaji....... Kwa ulipo anzia sio mbaya na upo sahihi kabisa ilivyoelezea............ Japo maoni yangu ungeanzia kwenye TENSES mana hapo ndo kilipo ki english... Kwa nini ungeanzia hapo? Kwa sababu uliyoeleza leo yapo ken topic ya form six SPEAKING na kwa vile namin kila aliyepo uku anajua kusoma basi tenses ingekuwa njema zaidi ..........huwezi ku communicate bila kujua nyakati vzr ambazo ndo imekuwa mziz wa ki english.....Hata kujua grammar unahitajika uwe na kitu kinaitwa COMPETENCE and PERFOMANCE.....sasa utajuaje bila kujua tenses... Lkn kama umachukulia wote walioko huku wanajua tenses vzr basi sawa, ila tenses ni tatizo sana kwenye ki english cha wabongo ukisikiliza presentation zao N.B ni maoni yangu tu
Du...... We jamaa una mitusi lol, lkn mtoa uzi kukubali kumkosoa ken comment moja hapo juu may be hujasoma, lkn any way hata mimi sijakatisha tamaa mtu ila nilichopendekeza sio lzm kukifwata...... Sitakurudishia matusi mana sikujui hata wewe hunijui badala yake ntakuelimisha tu..... Kwa level yangu na uelewa wangu sidhani kama matusi na yote uliyoandika unanikomoa mie .......Endelea kujifunza kizungu ndugu, mtoa mada akihitaji msaada basi ntamsaidia chochote kile as a linguist " na akisahau kitu ntamkumbusha na kwa sababu yy ni lingust nina imani atakubali mana ki english ni kama hesabu kina kanuni kabisa............ Mitusi yako mmepokea naifanyia kazi.............Unaonaje ungeanzisha uzi wa hizo Tenses ili uendelee kufundisha watu huku,kuliko kudandia dandia na kukatisha watu tamaa, eti nasubiri ukosee,pumbavu wew
mjinga kabisa ,mwenzio kaamua kusaidia watu then eti unajifanya mwalimu,jitahidi kumotivate watu wngine katika kazi unazoona hazijengi au uwe unakaa kimya kama unaona unaweza kuandika upupu
Nisaidie basi kumjib jamaa kapolomosha mitusi apo juu hatari.......... [emoji2] [emoji2] [emoji2]Uko sahihi kiongozi tenses ndio ugonjwa wa tuliowengi
Mimi english sina shida nayo, naitumia kila siku na watu wanaoongea ki English naishi nao so hiki ninachokijua kinatosha.Du...... We jamaa una mitusi lol, lkn mtoa uzi kukubali kumkosoa ken comment moja hapo juu may be hujasoma, lkn any way hata mimi sijakatisha tamaa mtu ila nilichopendekeza sio lzm kukifwata...... Sitakurudishia matusi mana sikujui hata wewe hunijui badala yake ntakuelimisha tu..... Kwa level yangu na uelewa wangu sidhani kama matusi na yote uliyoandika unanikomoa mie .......Endelea kujifunza kizungu ndugu, mtoa mada akihitaji msaada basi ntamsaidia chochote kile as a linguist " na akisahau kitu ntamkumbusha na kwa sababu yy ni lingust nina imani atakubali mana ki english ni kama hesabu kina kanuni kabisa............ Mitusi yako mmepokea naifanyia kazi.............
Umenena kabisa kiongozi.Nipo pembeni apa napitia makosa yatakayo jitokeza kweny huu ufundishaji....... Kwa ulipo anzia sio mbaya na upo sahihi kabisa ilivyoelezea............ Japo maoni yangu ungeanzia kwenye TENSES mana hapo ndo kilipo ki english... Kwa nini ungeanzia hapo? Kwa sababu uliyoeleza leo yapo ken topic ya form six SPEAKING na kwa vile namin kila aliyepo uku anajua kusoma basi tenses ingekuwa njema zaidi ..........huwezi ku communicate bila kujua nyakati vzr ambazo ndo imekuwa mziz wa ki english.....Hata kujua grammar unahitajika uwe na kitu kinaitwa COMPETENCE and PERFOMANCE.....sasa utajuaje bila kujua tenses... Lkn kama umachukulia wote walioko huku wanajua tenses vzr basi sawa, ila tenses ni tatizo sana kwenye ki english cha wabongo ukisikiliza presentation zao N.B ni maoni yangu tu
Wewe lzm utakuwa unajua ki english as a second language alafu kupitia mtaani yan kama mswahili vile anavojua kuongea kiswahili bas akahisi anaweza kufundisha mtu kiswahili, kumbe sio....... Sasa wewe kama unashinda na wanaojua ki english ilitakiwa kabla hujaja kutukana uulize mtu anatakiwa aanze na nini ili awe vzur....... Lkn kutukana et kisa mapendekezo yangu sio pouwa aisee, af inaonesha upo foreign country lkn still you are "uncuthy "haujastarabika hata kidogo ndo mana unaona kutukana ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe wako..... Lzm utakuwa upo Congo wewe mitaa ya beni upo frastruated na vitaMimi english sina shida nayo, naitumia kila siku na watu wanaoongea ki English naishi nao so hiki ninachokijua kinatosha.
Ila najua huko nyumbani tatizo la kujua English ni kubwa.
Watu weny tabia za kutafuta kasoro na madhaifu ya wengine siwapendi kabisa.
Ni heri ungejua unaeongea nayeWewe lzm utakuwa unajua ki english as a second language alafu kupitia mtaani yan kama mswahili vile anavojua kuongea kiswahili bas akahisi anaweza kufundisha mtu kiswahili, kumbe sio....... Sasa wewe kama unashinda na wanaojua ki english ilitakiwa kabla hujaja kutukana uulize mtu anatakiwa aanze na nini ili awe vzur....... Lkn kutukana et kisa mapendekezo yangu sio pouwa aisee, af inaonesha upo foreign country lkn still you are "uncuthy "haujastarabika hata kidogo ndo mana unaona kutukana ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe wako..... Lzm utakuwa upo Congo wewe mitaa ya beni upo frastruated na vita
Anzisha uzi utufunze na tensesWewe lzm utakuwa unajua ki english as a second language alafu kupitia mtaani yan kama mswahili vile anavojua kuongea kiswahili bas akahisi anaweza kufundisha mtu kiswahili, kumbe sio....... Sasa wewe kama unashinda na wanaojua ki english ilitakiwa kabla hujaja kutukana uulize mtu anatakiwa aanze na nini ili awe vzur....... Lkn kutukana et kisa mapendekezo yangu sio pouwa aisee, af inaonesha upo foreign country lkn still you are "uncuthy "haujastarabika hata kidogo ndo mana unaona kutukana ni njia sahihi ya kufikisha ujumbe wako..... Lzm utakuwa upo Congo wewe mitaa ya beni upo frastruated na vita
Unazingua tu wewe hamna kitu......... Endelea kulingalika na kufaransikaNi heri ungejua unaeongea naye
Nipo kwa Kabila huku naongea kifaransa na kilingala.
Shukran mkuu nashauri uanzishe darsa uanzishe group la WhatsApp wahitajia wakilipe kwa mwwzi kiasi flaniJIFUNZE ENGLISH
![]()
Kama inavyojulikana kuwa English ndio lugha kuu wa mawasiliano duniani hivyo pasipokujua English itakufanya ushindwe kuingia katika dunia ya Utandawazi moja kwa moja.
Katika dunia hii ya Utandawazi ina lengo la kuwaunganisha watu wote Duniani kuwa kitu kimoja yaani Dunia sasa ni kama kijiji.Kutokana na hilo,kuna fursa nyingi sana za vijana kutoka sehemu mbalimbali dunia kukutanishwa sehemu pamoja kufanya kazi kwa pamoja.
Hii huwa ni changamoto kubwa sana kwa wote ambao hawajui English na hivyo kushindwa kuchangamkia fursa hii.
Huenda tu unashindwa kujua tu kuwa upungufu wa ajira ni wa kiasi kidogo sana kuliko unavyofikiria au kusema.Unaweza ukawa sahihi kusema ajira Tanzania ni ndogo sana ila ukawa haupo sahihi kusema umekosa ajira kabisa.
Nimejitolea kufundisha English Bure kabisa hapa JF
Ila unachotakiwa ni uwe na Idea kidogo tu yaani uwe unajua kwenye English kuna Maneno kama "Yes" na "No".
Sasa leo naanza katika GRAMMAR(Kwa kifupi Grammar ya English ndio English yenyewe)
INTRODUCTION
It is essentially important,before we study grammar ,to know what language is and why and how we should learn a particular language.
We,first of all ,learn language for the purpose of communication.
A.Language :
As a matter of common knowledge ,is the medium of communication through which we express our emotions,ideas,feelings and thoughts to our fellow people.
B.Alphabet:
Language is mainly composed of letters which stand for signs or sounds.The letters are totally treated as the alphabet of the language.The number of letters are different from language to language.
The alphabet of English is composed of 26 letters(twenty six letters).These 26 letters are known as the alphabet are used either for printing or writing.
Accordingly,printing letters are different from script letters.
Various forms of printing and script letters are given below:
PRINT CAPITAL LETTERS
A,B,C,D,E,F,G,H,I,J,K,L,M,N,O,P,Q,R,S,T,U,V,W,X,Y,Z
![]()
PRINT SMALL LETTERS
a,b,c,d,e,f,g,h,i,j,k,l,m,n,o,p,q,r,s,t,u,v,w,x,y,z
View attachment 670284
SCRIPT CAPITAL LETTERS
![]()
SCRIPT SMALL LETTERS
![]()
C.Division of alphabet:
The alphabet of of English is divided into two classes namely
1.Vowels-The five letters "a,e,i,o,u" are known as vowels in English and we cannot write even a single word without using a vowel
- Vowel(Inasomeka vawo kwa kiswahili)
- Consonant
2.Consonant-The remaining 21 letters of the alphabet are known as the consonants in English.
They are b,c,d,f,g,h,j,k,l,m,n,p,q,r,s,t,v,w,x,y,z.
D.Syllable(Inasomeka silabo kwa kiswahili)
A word or a part of word which consists of a vowel sound.It is a combination of consonant and vowel.(Yani hapa kwa kifupi ni sawa na kiswahili unaposema anakula yani umeunganisha silabi mbili "ana" na "Kula".Na hapa tunaona kuwa mwishoni kabisa wakati unatamka inasikika sana vowel ) mfano mwingine ni neno "Kata" ambapo ukiwa unaliongea utapumzika mara mbili tu,ya kwanza "Ka" na ya pili ni "ta"
Hizo ndio mfano wa Syllable in swahili
Turudi kwenye Engish sasa,
Example the word Examination has 4 syllables
-Exa
-Mi
-Na
-Tion
E.Word:
A word is the basic element in every language.A word is a proper combination of letters.The letters in a particular language are arranged in such a manner that they should represent either objects or ideas.
Example of words are:
-Nation
-Examination
-Book
F.Grammar:
Grammar is a systematic study of scientific method which provides us information and guidance necessary to learn a language(yani hapa kwenye grammar ndio kwenye lugha husika ,na tutajikita hapa mpaka siku ya mwisho nasema sasa tumemaliza Grammar).
The science of grammar teaches us how a language is spoken and written correctly and effectively.
(Nasisitiza kuwa matatizo yako yote katika lugha ya kingereza humalizwa hapa kwenye Grammar)
THE PRACTICAL IMPORTANCE OF GRAMMARKama nilivyosema kuwa Grammar is a scientific study of languages kwahiyo ina husika na matatizo yote katika lugha yoyote.
Unless we have mastered grammar ,we do not or cannot speak or write English correctly.
English(language) is very much controlled,conditioned and regulated by grammar.
It is due to these reasons that we should gain a considerable mastery over this grammar.
It may be pointed out,that it is very difficulty to define the scope and the practical value of grammar.
An attempt has,however,been made to illustrate the functions of grammar:
1.THE STUDY OF LANGUAGE
Grammar is primarily concerned with the study of language.It explains to us the difficulties and problems involved in learning a language and it guides us how language is effectively used in our day to-day-life.
2.THE STUDY OF WORD
Grammar tells us how words are formed and why they are classified into various categories.It also instructs us how words are combined and grouped into sentences.
It also tells us when and where a particular word should be used.
3.THE STUDY OF SENTENCE STRUCTURE AND PATTERNS
What we study in grammar is the sentence structure.As a matter of fact,sentence structure is very essential in every language.Grammar makes us familiar with these sentence patterns.It enables us to understand how sentences are patterned and how they are used in our practical life for proper and effective communication.
4.THE STUDY OF PARTS OF SPEECH
Grammar surveys and defines various parts of speech in detail and studies their functions elaborately .
It provides adequate information as to where,when and how these parts of speech are used in speech and writing(Naposema parts of speech namaanisha maneno yote unayotumia kwenye speech).
So,grammar might be considered to be a standard reference book for the parts of speech.
5.THE STUDY OF WRITING SKILLS
Grammar is essential and beneficial for writers,journalists and poets who are engaged in literary field.It trains us how paragraphs essays, and letters should be written in simple and dignified style.
Due to this,grammar is regarded as an introduction of literary composition.
6.THE STUDY OF COMMUNICATION AND CORRESPONDENCE
Language ,broadly speaking,is one of the best and the most effective means of communication without which we cannot live a civilized life.
Unless we communicate with our fellow people properly ,we can never be successfully in society.
So,grammar is a science which equips us with the powerful communication abilities and aids.
It tells us how to impress people with our speech and conversation.A professor or a politician cannot be successful in his profession,unless he is well equipped with linguistic skills(Grammar).
So ,grammar deals with communication and correspondence.
So due to these functions,grammar is treated as a science of communication.
WE ARE DONE WITH OUR INTRODUCTION TODAY
Nitaendelea na sehemu ya kwanza katika Grammar known as "PARTS OF SPEECH" ambapo tutasoma aina za maneno katika ENGLISH
==================
LEARN ENGLISH FOR FREE THROUGH JF
HOME OF GREATEST THINKERS
u uliyoeleza leo yapo ken topic ya form six SPEAKING N.B ni maoni yangu tu
Mkuu upo sawa ivo vitu vyote, kuna vitu vya nursery lkn hufundishwa level ya juu sana hahahahahahahMkuu nimekuelewa vizuri kabisa aisee,bila tense hakuna English na sio rahisi kuongea sentensi ya kingereza kwa mtu anayejifunza bila kukosea tense.Hivyo ni muhimu sana ningeanza na tenses kama ulivyoshauri.Nimeona ni clear haya makosa madogo madogo zaidi kwanza then nifuate huko.
Muongozo wa kujufunza English hauanzin na tenses mkuu,huanza na hivi vitu vidogo ambavyo hufundishwa nursery schook huko a.k.a Form 6 ya shuleni kwenu hahahahahahah kama ulivyosema(Natania tu mkuu).
Mitusi yako mmepokea naifanyia kazi.............
Wewe umesema unajua mkuu ko endelea kujua mzee baba........ Kuonesha nilikuchokuwa nasema ni ukweli angalia watu waliosupport my comment lkn wewe kujitia umento ubatukana kha.......Anzisha uzi utufunze na tenses