Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Mambo yake muachieni nwenyewe...

Ila " Boys Over Flowers" ni bonge la Drama Series...
 
Mimi hizi za kikorea nilipenda moja tu jumong, nimeshangaa imekuwaje parasite kuchukua tuzo ya kamataifa wakati INA story kama ya bongo movie.
 
Ni IRIS Mkuu!
 
Kwani hii dunia ni yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora nikaangalie vyura kwenye madimbwi ninaweza kugundua kitu kuliko kutazama muvi za wakorea
 
Series za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
Apo kwenye Spartacus tupo pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi hizi za kikorea nilipenda moja tu jumong, nimeshangaa imekuwaje parasite kuchukua tuzo ya kamataifa wakati INA story kama ya bongo movie.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usiniambie Mimi sijawahi kuiona Wala kuifuatilia

Mkuu zipo series zao nzuri Kama sword fraternity aahhh Acha kabisa ile series Ni balaa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] angalia uchache wa mapungufu .. Kama mapungufu Ni machache Basi ipitishe hiyo
 
Korea movies stories are the same but different characters and locations
 
IRIS 1-4 weka mbali na watoto ile na Gu family book ndo zilifanya niangalie movie za kikorea japo now siangalii kabisa movie.
 
Nakubali ile series nadhani kuna mkono wa Hollywood babaake sio mchezo nakumbuka siku ya kwanza kuiona nilikaa masaa 18 kwenye kideo bila kutoka naicheki tu ile movie noma...ilifanya nikatafuta lile song lipo kwa simu na naisikiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…