Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Weka picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hizi za kikorea nilipenda moja tu jumong, nimeshangaa imekuwaje parasite kuchukua tuzo ya kamataifa wakati INA story kama ya bongo movie.Nimetizama Korean drama nyingi kiasi chake Naona Kuna mastar wengi huwa Wanafanya vizuri kumzidi Kama ile series ya city Hunter Mimi sijawahi kuielewa kabisa hauwezi kui- compare na bridal mask au Ile IRISH(sijui ndio inaitwa hivyo)
IRISH episode 1 mpaka 4 Ni balaa Ni series haswaa ya kijasusi
Nimetizama Korean drama nyingi kiasi chake Naona Kuna mastar wengi huwa Wanafanya vizuri kumzidi Kama ile series ya city Hunter Mimi sijawahi kuielewa kabisa hauwezi kui- compare na bridal mask au Ile IRISH(sijui ndio inaitwa hivyo)
IRISH episode 1 mpaka 4 Ni balaa Ni series haswaa ya kijasusi
Kabisa..Kumbe nanyie mnaona Hilo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani hii dunia ni yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bongo muvi za asia....sjawai angalia na sitoangalia..na siwez kuna ruhusu hata dem wangu aangalie nikiwepo..infact hata nisipokuepo..yan naweza mpiga kibuti kabisaa
Sabab zangu
1.siwez angalia muvi nje ya holywood..na sio holywood ilimrad. Ni yale makampun ya usambazaj na production makubwa tu maana had wakusambazie or produce lazima muv waiamini sanaa
2.siwez angalia low budget muvi..hata iwe imetengenezwa marekani...muvi wanazotumia tomato kama damu(hahah.joke)
3.siwez angalia muvi iliyotafsiriwa..yaam uongee kichina halaf huku niskie kizungu..no way
4.siwez angalia muv yenye subtittles mwanzo mwisho.nakua naangalia maandish tu badala ya muvi
5.siwez angalia series theme za mapenz mwanzo mwisho...no way..kuna mambo meng zaidi ya mapenz ulimwengun hapa..wamarekan or wazungu walilijua hilo kitambo ndomana yakaja ma kina 24..,lost..prison break etc
Ndio..uzi huu sio wangu.......sooooo whattt.
Apo kwenye Spartacus tupo pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Series za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
Asante chiefNi IRIS Mkuu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usiniambie Mimi sijawahi kuiona Wala kuifuatiliaMimi hizi za kikorea nilipenda moja tu jumong, nimeshangaa imekuwaje parasite kuchukua tuzo ya kamataifa wakati INA story kama ya bongo movie.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] angalia uchache wa mapungufu .. Kama mapungufu Ni machache Basi ipitishe hiyoYaani mkuu wa tech yupo miaka yote na ndiye anajua namna ya kuoperate hiyo facial technology inatakiwa itumike wakati gani ila ofisi nzima hawajawahi kuitumia kumtafuta huyo mtu, ila new comer ndiye kaja na wazo la kuitumia na unasema ujuzi unatofautiana?
Ujuzi wa system yako ambayo inaitwa facial technology ilibidi aje mtu wa nje kukwambia uitumie? Kumtafuta gaidi?
Kwakweli hakuna tatizo mkuu.
Nimetizama Korean drama nyingi kiasi chake Naona Kuna mastar wengi huwa Wanafanya vizuri kumzidi Kama ile series ya city Hunter Mimi sijawahi kuielewa kabisa hauwezi kui- compare na bridal mask au Ile IRISH(sijui ndio inaitwa hivyo)
IRISH episode 1 mpaka 4 Ni balaa Ni series haswaa ya kijasusi
Ile series umetulia sio utani mpaka kuna muda nikawa nahisi idea ya ile movie haikutoka korea. Kutokana na u wack wa movies za korea nilijijengea dhana hiyo na mpaka leo nina wasiwasi huenda nikl sahihi
Ile series iko na part two na zote ni kali zimetengenezwa kwa weledi mkubwa sana ni unpredictable. Hii series ndio iliyoutambulisha ulimwengu kuwa korea nako kuna waigizaji.
Sawa kabisa he is good actorOngezea na Ji chang wook
kwani hujaiona apoWeka picha
😂😂😂😂😂Korea movies stories are the same but different characters and locations
😂😂😂Apo kwenye Spartacus tupo pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sio wewe tuIla Mimi naonaga Kama jamaa Yuko overrated Sana
Yani wakorea wataigiza Series zote hakunaga kama Hii ikifatiwa na IRISNamkubali Sana mtaalam SONG LI GOOK
"A man called God..."