princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hakuna kama chuno slave hunter / Shine of Go CrazySeries za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
wenye maeneo yenu sasa mnavozijua😂😂😂Hakuna kama chuno slave hunter / Shine of Go Crazy
za modern utoto kweli sio uwongo
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Nazijuaga ila saivi nmehamia China wakorea nna mwaka wa 3 sijui wanaigiza nini [emoji23]wenye maeneo yenu sasa mnavozijua[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huwa nawashangaa sana watu wanaompa chapuosio wewe tu
mimi binafsi sijawahi kuona maajabu yake hajaa yuko overrated mnoooo
mimi wakorea namkubali Sana Jang Hyuk & Lee byun& yule jamaa wa iljimae hun wako vizuri sana
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kuna huyu dada wa kichina "Zhao Liying" nlimkubali Sana kwenye hii series 👇ni nzuri.Nazijuaga ila saivi nmehamia China wakorea nna mwaka wa 3 sijui wanaigiza nini [emoji23]
Vitu kama princess wei young ,Historical chinese war series utazipenda Vitu kama 3 kingdoms/ legend of the Condor heroes
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
mimi mdau wa hollywood tuNazijuaga ila saivi nmehamia China wakorea nna mwaka wa 3 sijui wanaigiza nini [emoji23]
Vitu kama princess wei young ,Historical chinese war series utazipenda Vitu kama 3 kingdoms/ legend of the Condor heroes
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Yaani huwa nawashangaa sana watu wanaompa chapuo
Achana na huyu kiumbe ni balaaaHahaaa kuna wengine wana sura nzuri na kuigiza vizuri pia like song joong ki
Nikiri kwamba nilianza kuangalia korean drama kwenye ile series ya jumong.
Nilikua najua kwa jamii ya watu wa asia wakicheza movie katika mazingira ya kifalme au ya kibush kama flying swords, taichi master, true legend basi movie inakua ina mkono mwanzo mwisho
Jumong ndio ilikia series ya kwanza kuni prove wrong, wanaruka ruka tu na mashuka yao mpaka episode inaisha ni mizunguko tu sijui mwana wa mfalme katoka gogolio kaenda kupeleka umbea
Ilinishinda kwa kweli
Baramui Nara,lobbyistNamkubali Sana mtaalam SONG LI GOOK
"A man called God..."
Mkuu hearly nitaitafuta hiyo sword fraternity, na wewe itafute hiyo movie ya parasite yenye tuzo ya oscar ushangae.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usiniambie Mimi sijawahi kuiona Wala kuifuatilia
Mkuu zipo series zao nzuri Kama sword fraternity aahhh Acha kabisa ile series Ni balaa
Biashara za watu hizo [emoji16]Hii movie ni nzuri sema sio kiasi cha kupata Oscar..doh
Wee huyu manzi Ni habari nyingine mkuu kakamua sana kwenye fox agent aisee ile series Ni balaaKuna huyu dada wa kichina "Zhao Liying" nlimkubali Sana kwenye hii series [emoji116]ni nzuri.View attachment 1713960
Acha kabisa mkuu hizo series Ni Moto kweliIRIS 1-4 weka mbali na watoto ile na Gu family book ndo zilifanya niangalie movie za kikorea japo now siangalii kabisa movie.
namkubali Sana .....kazuri 😉 na position yake huwa kanaitendea haki ....hata hiyo hapo juu amefanya poa sana.Wee huyu manzi Ni habari nyingine mkuu kakamua sana kwenye fox agent aisee ile series Ni balaa
Naam sahihi kabisa [emoji419][emoji419]Ile series umetulia sio utani mpaka kuna muda nikawa nahisi idea ya ile movie haikutoka korea. Kutokana na u wack wa movies za korea nilijijengea dhana hiyo na mpaka leo nina wasiwasi huenda nikl sahihi
Ile series iko na part two na zote ni kali zimetengenezwa kwa weledi mkubwa sana ni unpredictable. Hii series ndio iliyoutambulisha ulimwengu kuwa korea nako kuna waigizaji.