Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Lee Min Ho na plastic surgery zaidi ya 12 usoni

Series za kikorea uwa naona zina utoto ndani yake isipokuwa zile zenye plot za medieval ages, kama chumong na chuno au slave hunter. Zile ni hatari kabisa.
Hata hivyo mm hata series za mbele nazopenda ni plot za game of thrones, spartacus zaidi
Hakuna kama chuno slave hunter / Shine of Go Crazy
za modern utoto kweli sio uwongo

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Nazijuaga ila saivi nmehamia China wakorea nna mwaka wa 3 sijui wanaigiza nini [emoji23]
Vitu kama princess wei young ,Historical chinese war series utazipenda Vitu kama 3 kingdoms/ legend of the Condor heroes

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kuna huyu dada wa kichina "Zhao Liying" nlimkubali Sana kwenye hii series 👇ni nzuri.
images.jpeg
 
Nikiri kwamba nilianza kuangalia korean drama kwenye ile series ya jumong.

Nilikua najua kwa jamii ya watu wa asia wakicheza movie katika mazingira ya kifalme au ya kibush kama flying swords, taichi master, true legend basi movie inakua ina mkono mwanzo mwisho

Jumong ndio ilikia series ya kwanza kuni prove wrong, wanaruka ruka tu na mashuka yao mpaka episode inaisha ni mizunguko tu sijui mwana wa mfalme katoka gogolio kaenda kupeleka umbea

Ilinishinda kwa kweli

Hapo kwenye gogolio[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usiniambie Mimi sijawahi kuiona Wala kuifuatilia

Mkuu zipo series zao nzuri Kama sword fraternity aahhh Acha kabisa ile series Ni balaa
Mkuu hearly nitaitafuta hiyo sword fraternity, na wewe itafute hiyo movie ya parasite yenye tuzo ya oscar ushangae.
 
IRIS 1-4 weka mbali na watoto ile na Gu family book ndo zilifanya niangalie movie za kikorea japo now siangalii kabisa movie.
Acha kabisa mkuu hizo series Ni Moto kweli
 
Wee huyu manzi Ni habari nyingine mkuu kakamua sana kwenye fox agent aisee ile series Ni balaa
namkubali Sana .....kazuri 😉 na position yake huwa kanaitendea haki ....hata hiyo hapo juu amefanya poa sana.
 
Ile series umetulia sio utani mpaka kuna muda nikawa nahisi idea ya ile movie haikutoka korea. Kutokana na u wack wa movies za korea nilijijengea dhana hiyo na mpaka leo nina wasiwasi huenda nikl sahihi

Ile series iko na part two na zote ni kali zimetengenezwa kwa weledi mkubwa sana ni unpredictable. Hii series ndio iliyoutambulisha ulimwengu kuwa korea nako kuna waigizaji.
Naam sahihi kabisa [emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom