Antonio si mjinga. Hataki timu, anataka hela. Hawa jamaa hata Busu la Kenge akiwa kocha wao wanamlipa vizuri kuliko makocha wote pale England.Antonio conte anaitaka hii team mpeni
Ila yule mzee akili mingi sana itakuwa kweli kashaona mchongo wa manyumbuAntonio si mjinga. Hataki timu, anataka hela. Hawa jamaa hata Busu la Kenge akiwa kocha wao wanamlipa vizuri kuliko makocha wote pale England.
Kabisa. Ukiweka pesa kando hakuna mtu yeyote sasa hivi anaitamani man U.Ila yule mzee akili mingi sana itakuwa kweli kashaona mchongo wa manyumbu
Kwani uzi wa man u ulishakufa?Timu ya Manchester United imeendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Leeds United, ikiwa imeshinda mchezo mmoja tu kati ya 8 iliyopita ya michuano yote.
Matokeo hayo yanazidi kumuweka Kocha United, Michael Carrrick katika hatari ya kufukuzwa, kwani hadi sasa timu yake imezidiwa pointi 14 na Manchester City ambayo inashika nafasi ya kwanza katika Premie League.
Oyaa acha mambo ya ******* jamviniAntonio si mjinga. Hataki timu, anataka hela. Hawa jamaa hata Busu la Kenge akiwa kocha wao wanamlipa vizuri kuliko makocha wote pale England.
Majonzi ya man U fans n makubwa mpaka wanatamani Kuwe na mada za man U special tofauti na hukoKwani uzi wa man u ulishakufa?
Mdogo wangu acha hasira jamvini. Hutaki kuwa kocha wa manjesta?Oyaa acha mambo ya ******* jamvini