Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
kila mmoja anatamani awaone Leeds wakirudi katika kandanda la Primia, ngoja tuone kama watapata nafasi ya kuingia kwenye Play Off iwapo kama watapambana!!Naona wamerudi tena chini zaidi mwenendo wao ni kama Arsenal tu wanashinda game moja wanapoteza mechi 3......
Kwa kweli mpaka sasa sijajua ni kitu gani kilicho wasibu hawa mambwana naona kwenye ligi wapo nafasi ya 12 thou najua wakipambana wanaweza ingia kwenye zile zitu 4 zitakazo cheza play off....
Radebe.
Kulikuwa na midfielder yangu ya kifaransa Olivier DacourtJimmy Floyd Hasselbank
Hii unayoisema captain alikuwa Neil ToveyHiyo Bafana Bafana ya akina Mark Fish, Dr Khumalo, Tinkler..... Inabeba AFCON 1996 miaka miwili baada ya uhuru kamili SA.....
Pia pana Bayer 04 Leverkusennjemba mbili hapo zilisajiliwa na babu fergie
kuna hawa wengine hapa deportivo la kolunyaaaaaaaaaaaaaaa
Bolton ilikuwa moja kati ya timu za katikati ya msimamo wa ligi zilizokuwa zinatoa ushindani mkubwa sana kwa timu kubwa EPL.Watoto wa Reebok wamechoka sana, wapo daraja LA pili enzi hizo jay jay okocha, jaidi, youri djokuouf, juss janskilenn, Kevin Davis, Fernando hierro, Nolan,
Liverpool inaelekea huko huko.
Wajipange EPL ya sasa sio ya miaka ileWanakaribia kurudi
Wajipange EPL ya sasa sio ya miaka ile
Tayar wamesharudi....miaka 16 bila kucheza EPL watakuwa wamejipanga vya kutosha...Wajipange EPL ya sasa sio ya miaka ile
Waje tu tuone ufundi wa Marcelo BielsaTayar wamesharudi....miaka 16 bila kucheza EPL watakuwa wamejipanga vya kutosha...