Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
kila mmoja anatamani awaone Leeds wakirudi katika kandanda la Primia, ngoja tuone kama watapata nafasi ya kuingia kwenye Play Off iwapo kama watapambana!!Naona wamerudi tena chini zaidi mwenendo wao ni kama Arsenal tu wanashinda game moja wanapoteza mechi 3......
Kwa kweli mpaka sasa sijajua ni kitu gani kilicho wasibu hawa mambwana naona kwenye ligi wapo nafasi ya 12 thou najua wakipambana wanaweza ingia kwenye zile zitu 4 zitakazo cheza play off....