Hata championship wameshuka sasa hivi wapo ligue 1 ambayo ni sawa na daraja la pili.Bolton Wanderers wameshindwa kurudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata championship wameshuka sasa hivi wapo ligue 1 ambayo ni sawa na daraja la pili.Bolton Wanderers wameshindwa kurudi?
Nasikia Radebe alikuwa ni captain wao?Hii aliichezea Lucas Ladebe baada ya African Cup of Nations SA 1996.....
Hawa walikuwa wanavaa jezi nyeupeee hivi. Leeds United kitambo
super deponjemba mbili hapo zilisajiliwa na babu fergie
kuna hawa wengine hapa deportivo la kolunyaaaaaaaaaaaaaaa
Waliosimama kuanzia kushoto ni Mark Viduka, Danny Mills "kipara", Rio Ferdinand aliyevaa kitambaa cha unahodha na bila kumsahau beki Iane Harte bora wa kupiga mipira iliyokufa katika EPL baada ya zama za Denis Irwin.Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
![]()
wakijitahidi wanaweza wakarejea tena kwenye EPL ingawa haitokua Leeds ile sumbufu.hawa jamaaa na nottighman forest wacha kabisa unanikumbusha mbali mkuu...
ila naona msimu huu kwenye champion wanajitutumua msimu ujao tunaweza kuwa nao pale EPL
Kuna kipindi walishuka hadi daraja la pili, pia timu ilikumbwa na ukata mpaka wakajaribu kuuza uwanja wao!Unamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...
Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
[emoji106]mkuuWaliosimama kuanzia kushoto ni Mark Viduka, Danny Mills "kipara", Rio Ferdinand aliyevaa kitambaa cha unahodha na bila kumsahau beki Iane Harte bora wa kupiga mipira iliyokufa katika EPL baada ya zama za Denis Irwin.
Waliochuchumaa kuna kijana mtukutu Alan Smith, kuna mbabe Lee Bowyer, Oliver Dacourt na wa mwisho ni Harry Kewell.
Hapo kikosini wanakosekana Majemedari kama Lucas Radebe, Robbie Keane na wengineo.
Uwanja wao wa " ELLAND ROAD " ulikuwa mgumu sana kwa sisi Man Utd.
cc Guasa Amboni
Liverpool inaelekea huko huko.Kutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
![]()
League One ya China una maanisha?Unamaanisha nini unaposema wamepotea katika ramani ya soka la Uingereza ilhali wapo Championship tokea walipotoka EPL hadi sasa...
Na ligi ya Championship ni ngumu kuliko baadhi ya ligi nyingi tu kubwa barani Ulaya, kwa mtazamo wangu ni ngumu kuliko hata Ligue 1...
West ham au wapiga nyundo wa London/ hammers walijitahidi sana kipindi cha 2004/ 05 kwa kuwanunua Javier mascharano na Carlos tevez lakini waliwauza pia kutokana na uchumi wao ulishindwa kuwalipa, nafikiri msimu huu bado hamko vizuri sana kikosi kimekosa morali sana nafikiri mtendaji wenu sullivan ataangalia ni kocha gani anaweza mreplace slaven bilic maana jahazi litazama wasipokuwa makiniTimu yangu west ham vipi
Alikuwa Team Captain kama sikosei, World Cup huwa anaonekana akiichezea Australia!Huyu Jamaa ni kutoka Australia, nadhani
Alikuwa Team captain mpaka Bafana Bafana!Nasikia Radebe alikuwa ni captain wao?
Harry Kewell
Harry Kewell
daah hili chama ninalizimikia mpaka leo, sijui nini kimelikumba hili chama.. Mark Viduka, Lee Bowyer, Harry kewel, Rio Ferdinand, Lucas Radebe na mtukutu Allan SmithKutoka nusu fainali ya Uefa Champions League mwaka 2001, mpaka kushuka daraja mwaka 2003 na kupotea katika ramani ya soka la Uingereza, wale wapenzi wa soka wa kitambo, Unaikumbuka Leeds United hii?
![]()