Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

Watanzania bado hatujaweza develop hiyo Spirit kuwa kama walez ingawa huenda mbeleni tukaweza na kuwa zaidi ya Syria ila kwa sasa hivi bado
RPF ilirecruit 3000 military personnel lakini wao walikuwa kiini na kukomesha mauaji ya kimbali dhidi ya watutsi,je ni kipi kwa Tanganyika kinachoshindikana wakati sasa ivi kunamgawanyiko na mpasuko mkubwa ambao hujawahi shuhudiwa toka Tanzania iundwe??
 
Misingi ya Tanzania haipo hivyo mkuu
 
Tanzania haiko kisiwani ,Tanzania haiko dunia nyingine Tanzania haiko chini ya bahari Tanzania haiko ulimwengu tofauti na mataifa yaliyokumbwa na mapinduzi,yale yaliyo tokea katika utawala wa Assad Syria vilevile yanauwezano mkubwa kutokea Tanzania maana Assad nilipia documentary moja alikuwa anawauwa wapinzani wake kama muwindaji anavyowinda tembo au swala,vilevile jinsi utawala wa Al Bashir wa Sudan ulivyoondolewa vile hata Tanzania itatokea hivyo hivyo,pia jinsi utawala wa Mobutu seseko ulivyofurushwa kwa joint ya RPF na UPDF vilevile utawala wa CCM utaondolewa hivyo hivyo
Tanzania siko kisiwa,Mabadiliko yatakuwa hilo haliwezi pinging na ni lazima yatakuja kwa gharama kubwa
Tanzania haiwezi kuwa kama tulivyoizowea
 
Asante kwa elimu nzuri.
 
Kwanza ni Watanzania wachache wanaoamini matatizo mengi ndani ya nchi yetu yanatokana na Msingi uliowekwa na waasisi wa mwanzoni wa nchi yetu. Sizungumzii waasisi ambao ni Wakoloni, nazungumzia waasisi waliofuata baada ya Wakoloni
Wale ni Washirika wa ukoloni, waliupaka Rangi usionekane kwa kivuli cha ujinga wa wakati ule wa kumeza bila kuhoji.

Kitambaa walichowafungia vichwani kimechanika kina karibia kuisha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…