Tusimwongelee vibaya umri umesonga Sana miaka 90 Sio mchezo sishabikii kumsema vibaya enzi zake akiwa na nguvu zake alifanya mazuri mengi kwa nchiHamna cha uungwana wala ukweli.
Mzee ana endeleza unafiki tuu hapo.
Anajikomba kwe vile mwanae ana taka kuwania urais wa Zanzibar.. Akiwa kinyume na Mkulu mwanae hata pata nafasi.. Kula na kipofu usimshike mkono..
Huyo jamaa hajajua kama ni dongo la hali ya juuUnamsifia anayeezeka na kumponda aliyejenga msingi na kuta... Hizi ni akili ama matope?
Tusimwongelee vibaya umri umesonga Sana miaka 90 Sio mchezo sishabikii kumsema vibaya enzi zake akiwa na nguvu zake alifanya mazuri mengi kwa nchi
Mzee Mwingi mawazo yake ni mapana sana na uelewa mzuri wa mambo na anakiri ukweli mchungu, wengine watampinga kwa sababu kasema ukweli. Mawazo ya Mzee Mwinyi yaheshimiwe kwa umri, uzoefu na busara zake anasema aliyoyaona na kuyashuhudia
..kwa mfano UKATILI.
..kuleta CHUKI.
..UPENDELEO wa waziwazi.
..ni mambo ambayo hayakuzoeleka awamu zilizopita.
Huyu mzee huwa nampenda sana.Pamoja na kuivuruga nchi kwenye awamu yake kwa sababu nadhani ya washauri wabovu,he is still very respectable. Nadhani hii ni kwa kuwa in principle hakufanya ufisadi wowote.God bless him.Rais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!
Ni kweli anapiga kazi sana lakini kazi yake ni kama mtu anaye twang maji kwenye kinu au anaejaza pipa la maji wakati pipa lina tundu. Sawa sawa na mkulima wakati wa mavuno yeye ndiyo anapanda mbegu. Ila kazi anafanya kweli maana nasikia ana kaka na mafailiukweli magu anapiga kazi.. bila majungu anapiga kazi
Personal assement yangu kwa maoni yangu serikali zilizopita kabla ya Magufuli Kuanzia Raisi Nyerere .Nyerere alikuwa Yuko vizuri mno kwenye matumizi ya pesa za serikali kama alivyo Magufuli Lakini wote wawili Nyerere na Magufuli Sio wazuri kwenye Uwezo wa ku encourage na KU groom vyanzo vya mapato sustainable .Maraisi waliobaki Kuanzia Mwinyi,Mkapa,na Kikwete walikuwa wazuri mno kwenye strategy za mapato Lakini kwenye matumizi usimamizi ulikuwa mbovu.Nyerere alikuwa mzuri mno kuhakikisha Pato la nchi linanufaisha mwananchi mlalahoi kwa elimu bure ,afya bure ,ajira nk Lakini strategy za kuingiza mapato sustainable hakuwa vizuri matajiri aliwaona Kama SI rafiki na sekta binafsi kwake aliona Kama wezi tu baadaye biashara zikafa kibao akashindwa kupata pesa za Kodi za kuhudumia walala hoi .Raisi Maguli Yuko vizuri mno kwenye matumizi lakini kwenye issue ya strategy ya sustainable income generatinon hayuko vizuri kabisa.Kwenye hili ni photocopy ya Nyerere ambaye alikuwa mtumiaji mzuri sana wa pesa kuhakikisha zinawafaidisha wanyonge Lakini kwenye kuzalisha pesa sustainable na KU incourage private business sector hayuko vizuri .Yeye na Nyerere wanafanana.Hao Maraisi waliobaki tatizo kubwa walilokuwa nalo ni kwenye matumizi kwenye strategy ya mapato walikuwa vizuri strategy za matumizi hawakuwa vizuri na hawakusimamia vizuri.Raisi Magufuli Yuko vizuri matumizi stigler gorge,SgR ,barabara ,zahanati nk matumizi Yuko vizuri issue Ni sustainability ya mapato na income strategy eneo hili hayuko vizuri kabisa
hah umekanyagia hatari tupuSurely u weren't on 80's pale mafundi cherehani walipata kipato kwa kuria viraka nguo kwenye viraka.
Mtu ynatumia 4hrs kupanga foleni ili upate pakti moja ya maziwa mche mmoja wa sabuni a kilo of sukari maybe sembe!
Hakika hukukuta hata makuli walitajirika kwa kushirikiana na maofisa ugawaji kufanya ulanguzi!
Utawala julius miaka hiyo wanadunzi sio muhimu kuvaa sare aje tu shule kwa chochote alichojaaliwa kuvaa!
Mwinyi alileta mengi ya manufaa kwa nchi yetu
Naheshimu mawazo yako lakini kwa asilimia kubwa kwenye matumizi Yuko vizuri mapungufu sikatai Kama binadamu anayo ila anajitahidi Sana kwa hili hapana kwa maoni yangu hizo taratibu na CAG achana chukukia tu Kama udhaifu wa makaratasi kuwa yes umenunua ndege Lakini hukunishirisha mtu au PPRA . That is very minor .Ndege zipo. Anavyofanya vinaonekana wazi .Sina shida naye kwenye matumizi.Mipesa ya donors mfano sijui daraja sijui salendar Ni donor funded huwezi mlazimisha donor ajenge wapi Ni pesa yake.Huwezi mlazimisha ukampangia hutaki naye hataki.case closed.Vipaumbele Mara ingine watu hawaweki ii wapige pesa kifisadi za rushwa.Mfano ndege hazikuwa kipaumbele sababu watu wafanya maamuzi ya kuweka vipaumbele walikuwa wanahongwa na kampuni wao na baadhi ya wabunge wapiga kelele Sana bungeni wakihongwa nw mashirika ya ndege binafsi ili ATC isiamke wahongaji wao wapige biashara. Magufuli akaona ujinga akanunua ndege Hao wengine wamekufilia mbali.Kama walikuwa na genuine bussiness wamefia Nini? Kwenye matumizi ndio maana nasema kajitahidi.Waliokuwa wakihongwa Kuzuia ATC isiwe na ndege na isiingie sokoni ili wahongaji wawe na Monopoly kawatumbua ndege hizo za ATC zimeshika soko wengine wamekufa wengine wanapumulia mashine.Kwa maoni yangu kwenye matumizi Yuko vizuriMagufuli hayuko good kwenye kuchochea vyanzo vya mapato na wala hayuko vizuri kwenye matumizi
1. Haheshimu sheria za procurement (pesa kuidhinishwa na bunge etc)
2. Vipaumbele anavyoweka ni vile vinavyokuja katika akili yake na wala siyo mpango wa Taifa, kwa mfano ujenzi wa uwanja wa ndege Chato haukuwemo kwenye mpango wa Taifa wa miaka 5
3.Ni msiri kwenye mambo ya matumizi, kwa mfano mpaka leo hii kuna pesa kwenye ripoti ya CAG hazijulikani zimekwenda wapi (Vote 20), kaweka shirika la ndege chini ya ofisi ya raisi ili asikaguliwe
4. Magufuli ana White elephants projects kibao, Kavunjia wananchi nyumba Kimara-Mbezi kumbe hana hela ya kujenga njia nane, Anakwenda kujenga daraja baharini wakati magomeni mapip-fire mvua ikinyesha hapapitiki
Kiufupi ni kwamba huenda uraisi wa JPM ndiyo uraisi bomu kuliko maraisi wote waliotangulia
Mavi weweukweli magu anapiga kazi.. bila majungu anapiga kazi
Ni kweli, walishindwa kugeuza vijiji vyao kama New York kilichobaki sasa ni kuutangaza mlima kilimanjaro kuwa ni sehemu ya chato. Haya ni mapinduzi kweli kweliRais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!
Anaweka sawa nafasi ya mwanaeRais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!
umeona mbali sana.Analinda ugali wa mtoto wake!