Personal assement yangu kwa maoni yangu serikali zilizopita kabla ya Magufuli Kuanzia Raisi Nyerere .Nyerere alikuwa Yuko vizuri mno kwenye matumizi ya pesa za serikali kama alivyo Magufuli Lakini wote wawili Nyerere na Magufuli Sio wazuri kwenye Uwezo wa ku encourage na KU groom vyanzo vya mapato sustainable .Maraisi waliobaki Kuanzia Mwinyi,Mkapa,na Kikwete walikuwa wazuri mno kwenye strategy za mapato Lakini kwenye matumizi usimamizi ulikuwa mbovu.Nyerere alikuwa mzuri mno kuhakikisha Pato la nchi linanufaisha mwananchi mlalahoi kwa elimu bure ,afya bure ,ajira nk Lakini strategy za kuingiza mapato sustainable hakuwa vizuri matajiri aliwaona Kama SI rafiki na sekta binafsi kwake aliona Kama wezi tu baadaye biashara zikafa kibao akashindwa kupata pesa za Kodi za kuhudumia walala hoi .Raisi Maguli Yuko vizuri mno kwenye matumizi lakini kwenye issue ya strategy ya sustainable income generatinon hayuko vizuri kabisa.Kwenye hili ni photocopy ya Nyerere ambaye alikuwa mtumiaji mzuri sana wa pesa kuhakikisha zinawafaidisha wanyonge Lakini kwenye kuzalisha pesa sustainable na KU incourage private business sector hayuko vizuri .Yeye na Nyerere wanafanana.Hao Maraisi waliobaki tatizo kubwa walilokuwa nalo ni kwenye matumizi kwenye strategy ya mapato walikuwa vizuri strategy za matumizi hawakuwa vizuri na hawakusimamia vizuri.Raisi Magufuli Yuko vizuri matumizi stigler gorge,SgR ,barabara ,zahanati nk matumizi Yuko vizuri issue Ni sustainability ya mapato na income strategy eneo hili hayuko vizuri kabisa