Tupe darsa alikuwa anaambiwa nini na World Bank na IMF anatimiza?Alkua anaambiwa na WB na IMF Nate anatimiza so hapakuwa na ujuzi wala ubunifu kupigia mfano!! Ruhusu demokrasia- sawa! ruhusu soko huria-sawa! nk. nk. Kuhusu legacy may be that but for me there was nothing best in particular!
Munğu amulinde jpm tutamkumbuka kwa mengi nayakumbuka maneno yake kuwa amejitoa mhanga kwa ajiri ya watanzaniaLegacy?!? ni IPI?! Labda ya kuiporomosha nchi na Mkapa kuja kuiinua. Ni kama JK alivyoiangusha na sasa JPM anavyohaha kuiinua.
Mara nyingi, mchele na sukari vilipatikana kwa magendo majumbani mwa watu....Si bora ukae kwenye foleni, baadae upate hiyo ration yako/yenu. Unaweza kaa, foleni ndio imetoa wanne, mnaambiwa "unga wa ngano umeisha". Dah, chapati ilikuwa anasa!
...Acha sukari au mchele. Unakumbuka sabuni nayo ilikuwa shida?
mkuu,kipindi cha mzee ruksa,sukari ili adimika kama sasa?Muda mfupi tu baada ya Mwinyi kuingia madarakani na kubadili mtazamo wetu wa kiuchumi, mambo yakaanza kubadilika kiasi cha kuwashangaza watu. Magenge ya ulanguzi yakatoweka baada ya bidhaa kupatikana kwa wingi.
Watanzania wakaanza kufanya biashara na nchi nyingine, waliokwenda Kenya kupeleka machungwa, na wao kurudi na sabani za kufulia na kuogea, waliokwenda Uganda, waliokwenda Uarabuni, Ulaya, Marekani, alimuradi kila mmoja alikwenda alikotaka.
Soko la bidhaa mbalimbali likashamiri. Badala ya watu kutafuta bidhaa, bidhaa zikatafuta watu. Nguo mpya za dukani bwerere, mitumba bwerere, sabuni kibao, fegi hahahah teletele, magari makubwa na madogo kibao, Televisheni kibao, Radio kibao.
Mkuu tulizana kwenye huu uzi utapata darsa la bure litakupa mwanga nakushauri kuwa msomaji ufyonze ilm..mkuu,kipindi cha mzee ruksa,sukari ili adimika kama sasa?
...Ngoja nisaidie kuwaita.more please
akina Pasco , Mkandara , william malecela, ritz, mohammed said njooni mtupe elimu
ilikuwaje mtu wa Kisarawe kama sijakosea akaja kuwa rais wa zanzibar kisha na rais wa Tanzania?
Tunaomba wasifu wake familia yake, alikosoma, maandishi yake, etc...
Kwa nini anaonekana ametelekezwa kwa maana hakuna taasisi au vitabu au vitu vyenye kumtambulisha kitaifa zaidi tofauti na viongozi wengine kama akina Mkapa na JK na Nyerere?
...Unajua, watu walitajirika kwa ajili hii.Mara nyingi, mchele na sukari vilipatikana kwa magendo majumbani mwa watu.
Walanguzi walikuwa wakitazama au kuangalia huku na kule kabla ya kukupimia kibaba cha sukari, na wakati mwingine vibaba vyenyewe vilikuwa “mkude”.
Mwinyi aliporomoshaje nchi?, kwani alikuta nchi ina nini hasa.Legacy?!? ni IPI?! Labda ya kuiporomosha nchi na Mkapa kuja kuiinua. Ni kama JK alivyoiangusha na sasa JPM anavyohaha kuiinua.
mkuu,mbona utawala huu una viashiria vyote vya uko mliko kuwa!hivi tukianza kupanga foleni,wala chipsi na chili sosi wataweza kupimana ubavu na wala miogo,sembe,magimbi na ugari wa muhogo?ee Mungu epushia mbali!Mkuu tulizana kwenye huu uzi utapata darsa la bure litakupa mwanga nakushauri kuwa msomaji ufyonze ilm..
Siyo sukari tu sabuni, mafuta, nguo, mchele, ngano, maharage, mahindi, na vyakula vingine vingi.
sio sukari na mchele tu mpaka dawa ya mbu ilikuwa hanasa ele dawa ya mbu ya coil ulikuwa unaikata vipande vipande na kuiuza kwa wale unaowafahamu ole wako mgambo au Jkt wa kipindi hicho wakukamate utaomba ardhi ipasuke ili uingie mzima mzima kwa jinsi utakavyopata mkong'oto wa kufa mtu...Si bora ukae kwenye foleni, baadae upate hiyo ration yako/yenu. Unaweza kaa, foleni ndio imetoa wanne, mnaambiwa "unga wa ngano umeisha". Dah, chapati ilikuwa anasa!
...Acha sukari au mchele. Unakumbuka sabuni nayo ilikuwa shida?
Hahaaa, " sinusoidal motion" A. K. A to and fro motion.Legacy?!? ni IPI?! Labda ya kuiporomosha nchi na Mkapa kuja kuiinua. Ni kama JK alivyoiangusha na sasa JPM anavyohaha kuiinua.
Tumetoka mbali sana unakumbuka hizi....Ndio, ila inategemea ulikuwa wa tabaka gani. Wengi walilalia mikeka, ngozi na vitu vya namna hiyo, huko vijijini.
...Tusi generalize mambo.
...Chawa na kunguni? Hao walikuwa wana familia. Point is, tumetoka mbali.
...Acha Ujinga!
kaka,hiyo kiatu ndio raizoni au yondo sista?ahahaha!mmetoka mbali!dah
...Naam.Kikubwa alichofeli ni KUKUSANYA KODI na ndipo ilimbidi Mkapa alipoingia aanzishe TRA.