Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

Mbona hatuchukui hii kitu in a positive way? Mwinyi si alijiuzulu? 1976 then tatizo Ni Nini? Acheni uswahili..achaneni na fb na insta, twitter Ni nyoko!
Siyo uswahili wala nini, jamaa anamambo ya kishamba sana, alikuwa na sababu gani ya msingi kuweka picha ya Mzee Mwinyi? Mbona hakumweka baba yake?
 
Hii story ya kujiuzuru mstaaf mwinyi kila mtu analake mara magereza waliteswa ooh mara wananchi waliteswa kwenye operation basi balaaaa
 
Umebugi tena umebugi mazima mkuu

Mzee Mwinyi ni rais mstaafu. Anajua na anao uzoefu kuwa rais ni taasisi. Hakuna mahala ambapo mstaafu anapenda aliyeko madarakani ajisikie vibaya. Urais ni mzito na kazi ngumu.

Picha ilipigwa kihalali lakini anachokisema ni matumizi hasa kuzingatia tukio lililoambatana na uchapishwaji wa picha hiyo... Mwinyi alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani kwa makosa ya walio chini yake. Lakini January ametenguliwa uwaziri kwa makosa ya dhahiri ya kudhamiria kugusa ama kumkwamisha rais aliyepo madarakani huku yeye akiwa msaidizi wake wa karibu.
Ikumbukwe kwamba kuna makosa ambayo Rais aliyataja ya kumhusu January moja kwa moja likiwemo la mifuko ya plastiki na NGO zinazo deal na mazingira kuwa na hitilafu nyingi.

Luquman Maloto, tafadhali sana usifananishe mambo ya kisaliti na makosa ya kiutendaji pls pls
 
Kwakweli ile hali ilikuwa sio mchezo maana nyumba itayopika wali basi watoto wa jirani watajipitisha ili wakaribishwe tu.
 
Boss johnthebaptist Huyu Mstaafu haoni hata ... Aibu na Haya kusema hayo ??? !!! Eti aliyoshindwa na waliyoshindwa.
Tatizo lao hao walikuwa wanacheka na Kima aka Nyani ... Mh. Rais Ngosha .. ameonyesha Udhubutu, Kwa hilo halina Ubishi.


 

Watu wengi hawamwelewi Mzee Mwinyi. Huyu mzee ni mjanja. Hamaanishi hayo na wala haamini hilo analolisema.
 
Alikuwa muungwana kwenye uongozi wake. Pia ana hekima. Hata hii sifia sifia kwa jiwe, hamaanishi hicho anachosema bali anajaribu tupa zigo porini.
 
 
Ukweli ni kwamba, mtu alieanza kufanya vitu vya kupumbavu na kifisadi nchi hii ni Mwinyi watu wanasahau tu! Alivunja Azimio la Arusha akaanza ufisadi ulioturudisha nyuma sana kama taifa! Alijimilikisha mali za umma, akauza hadi mbuga za wanyama kwa waarabu bila uchungu na nchi hii "Loliondo" hadi leo kaacha mgogoro!

Kimsingi alikuwa dhaifu, upeo mdogo napiga dili asie na aibu! Ndio maana anajikomba sana kwa Jiwe!
 
Mkuu kizazi hiki hakifahamu, wala hakijisumbui kufahamu. Mwinyi ndie alieanza kubomoa misingi ya taifa hili! Hadi Nyerere akawa anamlaumu kwamba anabomoa vitu vya msingi na kuendeleza vya kipuuzi!
 
Akija rais mwingine akafanya maendeleo. MZEE Mwinyi atakuja kusema amefanya maendeleo yaliyoshindwa kufanywa miaka 40 ILIYOPITA?
 
Uneongea kama unamkashifu lkn umwongea uimkweli 100% kuhusu Ali! Ali ni dhaifu sana!
 
Mzee mwinyi yuko kwenye kundi lile la kupongeza na kusifia kila kitu.
 
HUYU MZEE MNAFIKI KWELI
BADALA YA KUKAAA KIMYA NA KUMTAKA MOLA WAKE MSAMAHA KWA YALE ALIYOYAFANYA, YEYE BADO ANAKOMAA NA MAPAMBIO.
NDIO MAANA ALIZABWA KELEBU.
Mzee badala aikemee zinaa yeye anahimiza matumizi ya kondom lol……….
 
Hiyo kodi angeuikusanya kutoka wapi?? na wakati kaikuta nchi nyanganyanga, hohe hae.

Ufukara wa kutupwa kila mahali watu wanavaa kaniki, nchi haina mafuta, sabuni, na mahitaji yote muhimu.

Kiufupi rais mwinyi ndio rais pekee aliyeikuta nchi ikiwa katika lindi la umaskini, ufukara uliotopea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…