Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Alifanya makusudi kumwaga mchanga kwenye kitumbua cha mwenzake, jamaa anaroho mbaya.January alifanya kosa la ufundi kutumia picha ya mzee mwinyi katika kipindi hiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanya makusudi kumwaga mchanga kwenye kitumbua cha mwenzake, jamaa anaroho mbaya.January alifanya kosa la ufundi kutumia picha ya mzee mwinyi katika kipindi hiki.
Siyo uswahili wala nini, jamaa anamambo ya kishamba sana, alikuwa na sababu gani ya msingi kuweka picha ya Mzee Mwinyi? Mbona hakumweka baba yake?Mbona hatuchukui hii kitu in a positive way? Mwinyi si alijiuzulu? 1976 then tatizo Ni Nini? Acheni uswahili..achaneni na fb na insta, twitter Ni nyoko!
ALHAJ Ali Hassan Mwinyi, ametokeza na kumlaumu January Makamba, kutumia picha yao ya zamani wakicheka pamoja kwenye 'twiti' ya kuridhia kutenguliwa Uwaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Mwinyi amehoji, kwa nini picha hiyo itumike kipindi mambo yamekoregeka? Ukimwelewa Mwinyi, ni kama anashawishika kuamini kwamba picha imetumika vibaya na inatoa tafsiri kwamba yeye na January wanachekelea uamuzi wa Rais Magufuli kutengua uteuzi wa January Baraza la Mawaziri.
Maneno ya 'twiti' ya January akisema, amepokea mabadiliko yaliyofanyika kwa moyo mweupe kabisa, akiambatanisha 'emoji' ya cheko la upendo, kisha picha kuwaonesha January na Mzee Mwinyi wakichekelea, hapo ndipo mwanzo wa nongwa.
Ni hofu tu! Inawezekana Mzee Mwinyi alielewa vibaya au kuna watu walimshawishi kuelewa tofauti. Hofu ingeondoka, picha hiyo ina thamani kubwa kwa Mwinyi. Na Mwinyi angeona raha namna anavyokuwa hamasa kwa vijana viongozi wa kizazi cha sasa.
Ipo hivi; mwaka 1974, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Shinyanga, Michael Mabawa, alitumia askari wa Jeshi la Polisi, kufanya oparesheni ya kusaka wachawi, wananchi wasio na hatia walipigwa na kudhalilishwa mno kwa tuhuma za kujihusisha na ushirikina.
Kwa kitendo hicho, Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, bila kupoteza muda, alimwandikia barua ya kujiuzulu, Mwalimu Nyerere, kwa sababu polisi ambao walikuwa chini ya wizara aliyoiongoza, walipiga na kutesa raia.
Mwaka 1984, miaka 10 baada ya tukio hilo, kikao cha Halmashauri Kuu CCM kilimvua Urais wa Zanzibar, Alhaj Aboud Jumbe kisha Mwinyi akapitishwa kuwa Rais wa visiwa hivyo. Mwaka 1985, Mwinyi akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akamrithi Mwalimu Nyerere.
Hivyo, Mwinyi ni alama yenye kutoa hamasa kwa viongozi hasa vijana, kutambua kuwa zipo nyakati za kuteleza na kuanguka, lakini muhimu ni kujikusanya, kunyanyuka na kuendelea na mwendo. January katika picha yake na Mwinyi, bila shaka alikusudia tafsiri kuwa aliyopata ni ajali kama ya Mwinyi, hivyo atanyanyuka kama alivyonyanyuka Mwinyi. Hapo kuna ubaya gani?
Muhimu ni kwamba January ana ndoto za kuwa Rais. Mwinyi alikuwa Rais baada ya ajali ya kujiuzulu. Ni kosa January kujipa moyo kuwa ipo siku atakuwa Rais baada ya ajali ya kutenguliwa? Tatizo siku hizi hofu inafubaza uwezo wa kufikiri. Uoga umetamalaki!
Ndimi Luqman MALOTO
Umebugi tena umebugi mazima mkuuALHAJ Ali Hassan Mwinyi, ametokeza na kumlaumu January Makamba, kutumia picha yao ya zamani wakicheka pamoja kwenye 'twiti' ya kuridhia kutenguliwa Uwaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Mwinyi amehoji, kwa nini picha hiyo itumike kipindi mambo yamekoregeka? Ukimwelewa Mwinyi, ni kama anashawishika kuamini kwamba picha imetumika vibaya na inatoa tafsiri kwamba yeye na January wanachekelea uamuzi wa Rais Magufuli kutengua uteuzi wa January Baraza la Mawaziri.
Maneno ya 'twiti' ya January akisema, amepokea mabadiliko yaliyofanyika kwa moyo mweupe kabisa, akiambatanisha 'emoji' ya cheko la upendo, kisha picha kuwaonesha January na Mzee Mwinyi wakichekelea, hapo ndipo mwanzo wa nongwa.
Ni hofu tu! Inawezekana Mzee Mwinyi alielewa vibaya au kuna watu walimshawishi kuelewa tofauti. Hofu ingeondoka, picha hiyo ina thamani kubwa kwa Mwinyi. Na Mwinyi angeona raha namna anavyokuwa hamasa kwa vijana viongozi wa kizazi cha sasa.
Ipo hivi; mwaka 1974, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Shinyanga, Michael Mabawa, alitumia askari wa Jeshi la Polisi, kufanya oparesheni ya kusaka wachawi, wananchi wasio na hatia walipigwa na kudhalilishwa mno kwa tuhuma za kujihusisha na ushirikina.
Kwa kitendo hicho, Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, bila kupoteza muda, alimwandikia barua ya kujiuzulu, Mwalimu Nyerere, kwa sababu polisi ambao walikuwa chini ya wizara aliyoiongoza, walipiga na kutesa raia.
Mwaka 1984, miaka 10 baada ya tukio hilo, kikao cha Halmashauri Kuu CCM kilimvua Urais wa Zanzibar, Alhaj Aboud Jumbe kisha Mwinyi akapitishwa kuwa Rais wa visiwa hivyo. Mwaka 1985, Mwinyi akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akamrithi Mwalimu Nyerere.
Hivyo, Mwinyi ni alama yenye kutoa hamasa kwa viongozi hasa vijana, kutambua kuwa zipo nyakati za kuteleza na kuanguka, lakini muhimu ni kujikusanya, kunyanyuka na kuendelea na mwendo. January katika picha yake na Mwinyi, bila shaka alikusudia tafsiri kuwa aliyopata ni ajali kama ya Mwinyi, hivyo atanyanyuka kama alivyonyanyuka Mwinyi. Hapo kuna ubaya gani?
Muhimu ni kwamba January ana ndoto za kuwa Rais. Mwinyi alikuwa Rais baada ya ajali ya kujiuzulu. Ni kosa January kujipa moyo kuwa ipo siku atakuwa Rais baada ya ajali ya kutenguliwa? Tatizo siku hizi hofu inafubaza uwezo wa kufikiri. Uoga umetamalaki!
Ndimi Luqman MALOTO
Kuna watu hawajaona bado aiseeukweli magu anapiga kazi.. bila majungu anapiga kazi
Rais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!

Ukweli ni kwamba, mtu alieanza kufanya vitu vya kupumbavu na kifisadi nchi hii ni Mwinyi watu wanasahau tu! Alivunja Azimio la Arusha akaanza ufisadi ulioturudisha nyuma sana kama taifa! Alijimilikisha mali za umma, akauza hadi mbuga za wanyama kwa waarabu bila uchungu na nchi hii "Loliondo" hadi leo kaacha mgogoro!Rais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!
Mkuu kizazi hiki hakifahamu, wala hakijisumbui kufahamu. Mwinyi ndie alieanza kubomoa misingi ya taifa hili! Hadi Nyerere akawa anamlaumu kwamba anabomoa vitu vya msingi na kuendeleza vya kipuuzi!Huyu mzee anajitahidi kusema, lakini ajue tu kuwa alishiriki kuuwa shrika la ndege na mashirika mengingine. Hivyo ni aibu kwa. Ila kama ujuavyo boss haeleweki, anaweza badilika na kufanya jambo lolote wakati wowote. Hivyo ili kuwa salama inabidi ujikombe kwake ili anagalau ukumbukwe.
hao watu wavivu sana wa kufikiri. mzee anaongea ukweli kwamba Rais Magufuli anafanya yaliyoshindwa kufanywa miaka 30 na kwa hesabu za haraka miaka 30 ni kipindi cha marais watatu waliopita yeye akiwemo na anakiri kabisa. Mzee Mwinyi anaongea alichoshuhudia na kushindwa kukifanya
Mzee Mwinyi unatakiwa umsikilize mara mbili, mfasaha wa lugha yule.
Uneongea kama unamkashifu lkn umwongea uimkweli 100% kuhusu Ali! Ali ni dhaifu sana!Si ajabu Rais Mstaafu Nyerere alimuita Rais Mwinyi "Rais dhaifu". Na si ajabu yule kijana alimchapa kofi mzee huyu.
Kumbe ukimya huficha mambo mengi sana,ikiwamo ujinga alionao mtu.Mwinyi ni mji**ga anayeonekana ana hekima sababu ya ukimya wake na upole wake tu.
HUYU MZEE MNAFIKI KWELIRais mstaafu mzee Mwinyi ameonyesha uungwana uliotukuka kwa kukiri uchapakazi wa Rais Magufuli hadharani.
Mwinyi amesema kazi waliyoshindwa kuifanya yeye, Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Dr Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu
Maendeleo hayana vyema!
Matope!Unamsifia anayeezeka na kumponda aliyejenga msingi na kuta... Hizi ni akili ama matope?
Hiyo kodi angeuikusanya kutoka wapi?? na wakati kaikuta nchi nyanganyanga, hohe hae.Mimi kama mfanyakazi nitakuwa wa mwisho kumpongeza Rais Mwinyi maana katika utawala wake ndo kipindi wafanyakazi walidharauliwa hata na wauza machungwa barabarani, kilikuwa kipindi kigumu sana kwa kundi la wafanyakazi wa umma. Bila Rais Mkapa kubadilisha mambo sijui nchi hii kama ingekuwepo hadi leo. Maana ni kipimdi ambacho serikali ilikuwa dhaifu sana haikuweza kabisa kukusanya kodi nakumbuka hadi Nyerere alisema serikali dhaifu huwa zinaacha kukusanya kodi kwa wafanya biashara na kufukuzana na machinga barabarani. Sasa Kiongozi aliyeomgoza serikali dhaifu kiasi kile labda akumbukwe kwa hiyo sifa ya kuwa na serikali dhaifu sana.