wade adams
Senior Member
- Dec 2, 2011
- 160
- 47
U
Mkuu foleni ya mkate wa siha, ambao ulikuwa unatengenezwa na national milling, kiwanda tulichotengenezewa na Canada(bakery). Tulikuwa tunanunua tshirt za mikono mifupi ukifua mara mbili imeshakua ya mikono mirefu.
Hall 3, wakati ule bweni la wasichana aka serengeti(UDSM) tulikuwa tunaopoa kwa sabuni ya lux au imperial kutoka kenya.
Jamani tuna historia, chonde chonde tusirudi tena huko.
lFoleni zilikuwa za kusukumana kwani watu walikuwa wengi kuliko bidhaa. Ndiyo kusema, wengine walirudi nyumbani mikono mitupu baada ya jitihada za kusukumana ili kulifikia dirisha la duka kushindikana. Wengine walizirai kwenye foleni! Ugumu hasa ulikuwa katika kupata sukari au mchele uliokuja kwa nadra.
Teh teh teh