suala la demokrasia samia kamzidi mbali kikwete, ktk historia ya taifa hili wapinzani hawajawahi fanya maandamano mikoa tofauti bila bughudha ya polisi kama walivyofanya wakati wa samia.Wewe una TATIZO MOJA KUBWA ,unakosa analytical skills, kama huna analytical skills, huwezi kuwa na uwezo wa kuchanganua, kupambanua issue, ideas na kufanya proper comparison.
Samia ni DALALI wa maliasili bza nchi, utawala bora democracy kwake ni shida.
Ufisadi wa KUTISHA kuliko awamu yoyote ile ile,ndo maana bungee limezuiwa kujadili kwa uwazi report wa wizi wa Fedha za Serikali.
Miaka yake takriban mitatu amekopa beyond, amefikisha deni kubwa kuliko awamu zote zilizotangulia.
maandamano pekee yalozuia kwa samia ni haya ya juzi yalokua na ajenda ovu dhidi ya samia.
samia anakopa kuendeleza miradi mikubwa alorithi, hivo sioni shida.
mradi pekee aloutekeleza kwa ufanisi mr tabasam ni UFISADI.