Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
nani kakuambia kuna aliyeniambia?Nani kakumbia umeyataja???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kakuambia kuna aliyeniambia?Nani kakumbia umeyataja???
Anajisahaulisha magaidi kua na nguvu kuua askari yanavamia vituo vya polisi kuiba sirahaUmesahau kuwa gesi yetu iluzwa Kwa wageni kipindi chake na Katiba mpya ilivurugwa upatikanaji wake akiwa Rais.
Bado KIKWETE anabaki kuwa mmoja wa VIONGOZI very liberal, democratic, shortcomings zake haziwezi kumeza mazuri yake mengi kama kiongozi Mstaafu wa Taifa hili.Huyu jamaa ndio aliowafanya CCM mafisadi wa CCM wahisi mali ya uma pamoja na rasilimali za taifa ni haki yao, na wakaanza kuchota bila ya kificho tena
Kuna mtu kakuomba uyataje au usiyataje??hayo majina
mimi sijayataja.
"Sio kwamba sisikii, wala sio kwamba siambiwi yanayosemwa, au sijui kusema, au sina la kusema! La hasha! Sijafanya hivyo kwa sababu sioni faida yake""Sio kama sisikii yanayosemwa au siambiwi yanasemwa bali .........." by Mzee wa Msoga
Bado KIKWETE anabaki kuwa mmoja wa VIONGOZI very liberal, democratic, shortcomings zake haziwezi kumeza mazuri yake mengi kama kiongozi Mstaafu wa Taifa hili.
A)Leo anafungua hoteli ya kitalii nyota Tano Arusha, kesho TANROAD wanbomoa ukuta wa fance wa hoteli hiyohiyo ambao umejengwa reserved area.
Lakini hamna afisa wa TANROAD alyefukuzwankazi.
B) Kikwete msafara nwa magari yake yanazima ghafla kisa mafuta yaliyochakachiliwa, lakini hatukusika mtu Kufukuzwa kazi.
C) Anakabidhi mfano wa hundi inayotofautiana kiasi Cha pesa figure na maneno,lakini anakuwa mvumilivu hamna mtu Kufukuzwa kazi.
D) Anabidhi maamburace Ikulu kwa halmashauri mbalimbali, anakuja Mkurugenzi wa halmashauri aambaye amealikwa lakini halmashauri yake haimo katika list ya halmashauri za kukabidhiwa amburance.
E) A napewa ku sign muswada ambao Bado bungeni haujajadiliwa, unarudi Tena bungeni,lakini hakuna mtu kafukuzwa kazi.
F) Msafara wake UNASHAMBULIWA kwa mawe Mbeya, lakini anavumilia na anapeleka maendeleo Mbeya.
G) Anachorwa Katuni za kuudhi,zinaamdikwa makala za kumkosoa na kumpondea kupita kiasi, lakini hakuna gazeti ambalo lilifungiwa kwa ajili ya kumkosoa yeye personally au kama kiongozi.
MAMBO hayo yote KIKWETE, Mwinyi walivumilia ,lakini marehemu KAMBALE na Mama Kizimkazi hawawezi kuvumilia kukosolewa.
Mwacheni kikwete apewe maua yake akiwa hai.
Kuna Msemo wa Kiingereza una hivi
"GIVE ME FLOWERS 🌺 BEFORE I DIE" nipeni maua yangu nkabla sijafa.
Tumpe zake heshima sifa JAKAYA MRISHO KIKWETE akiwa hai.🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Hii ndiyo legacy halisi ya kikwete. Huwezi kuandika legacy ya huyu jamaa bila kuambatanisha na miufisadi yake. Legacy ya aina hiyo itakuwa mfu.Ni katika kipindi chake pia ambapo
1. Dr Ulimboka aliuawa
2. Mwangosi aliuawa
3. Wanyama wakiwa hai walisafirishwa kwenda nje ya nchi
4. Tanzania ilikuwa hub ya madawa ya kulevya duniani
5. Mabomu yalilindima na kuua watu kadhaa huko Olasti Arusha
6. Wageni walijichotea rasilimali za taifa walivyoweza.
7. Ni wakati huohuo ambapo tembo na wanyama wengine wakubwa walipata shida sana.
8. Wizi mkubwa wa rasilimali za nchi ulifanyika kupitia Meremeta, Tangold, Escrow, Richmond, Kagoda nk nk nk
9. Ni wakati huohuo pia ambapo kama mtu hukuwa na pesa usingeweza kuipata haki yako popote.
10. Ni wakati huohuo ambapo mawaziri walitumia rasilimali za nchi hii kutibisha vimada wao ulaya.
11. Na mengine mengi mabaya yalifanyika kipindi hicho.
Tunatakiwa tufike mahali kama taifa tujue CCM haiwezi kuwa na mema kwa taifa hili kuna haja ya usalama wa taifa wa taifa hili kutafuta kiongozi ambaye atakuja kufumua utaratibu huu mbovu wa kuwapata viongozi wa nchi hii. Na ikiwezekana angalau kuwe na vyama viwili vitakavyopokezana uongozi wa nchi hii na vyote viwe treated equally. Huu utaratibu wa sasa haujakaa kikulisaidia taifa bali upo kwa ajili ya kutukuza mfumo fulani wa uongozi na tunakoelekea hata idara zetu za kulilinda taifa zitakuwa zimemezwa na ccm kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa taifa.
Tanzania itaishi milele sisi sote na vizazi vyetu tutatoweka lakini inapendeza sana taifa litakapokuwa na misingi bora na imara ili hata vizazi vitakavyokuja baada ya mwaka 3000 vijue kuna mababu waliwahi kuishi nchi hii walilitendea vyema taifa ndiyo maana leo hii Tanzania inaongoza kiuchumi duniani maana you never know maisha haya yanabadilika na Mungu anabariki taifa linalokuwa na maadili yanayompendeza.
Ahsante.
Na hapo ni kwa uchache tu yule mzee tabasamu lake huwa linaficha mengi sana. Kumbuka pia watu walikuwa wanaondolewa kimyakimya mpaka hata mawaziri wake. Kumbuka kilichomkuta waziri Mgimwa yaani kipindi chake ufisadi ulikuwa ni sehemu ya maisha na hata huduma maofisini zilitolewa kwa upendeleo mkubwa mno. Yaani ilikuwa ukiingia ofisi ya umma watu wanakuona kama kinyago tu wafanyakazi wa ofisi wako busy tu na smartphone.Hii ndiyo legacy halisi ya kikwete. Huwezi kuandika legacy ya huyu jamaa bila kuambatanisha na miufisadi yake. Legacy ya aina hiyo itakuwa mfu.
Ni wakati slogan ya chukua chako mapema iliasisiwa na kuishika KasiNi katika kipindi chake pia ambapo
1. Dr Ulimboka aliuawa
2. Mwangosi aliuawa
3. Wanyama wakiwa hai walisafirishwa kwenda nje ya nchi
4. Tanzania ilikuwa hub ya madawa ya kulevya duniani
5. Mabomu yalilindima na kuua watu kadhaa huko Olasti Arusha
6. Wageni walijichotea rasilimali za taifa walivyoweza.
7. Ni wakati huohuo ambapo tembo na wanyama wengine wakubwa walipata shida sana.
8. Wizi mkubwa wa rasilimali za nchi ulifanyika kupitia Meremeta, Tangold, Escrow, Richmond, Kagoda nk nk nk
9. Ni wakati huohuo pia ambapo kama mtu hukuwa na pesa usingeweza kuipata haki yako popote.
10. Ni wakati huohuo ambapo mawaziri walitumia rasilimali za nchi hii kutibisha vimada wao ulaya.
11. Na mengine mengi mabaya yalifanyika kipindi hicho.
Tunatakiwa tufike mahali kama taifa tujue CCM haiwezi kuwa na mema kwa taifa hili kuna haja ya usalama wa taifa wa taifa hili kutafuta kiongozi ambaye atakuja kufumua utaratibu huu mbovu wa kuwapata viongozi wa nchi hii. Na ikiwezekana angalau kuwe na vyama viwili vitakavyopokezana uongozi wa nchi hii na vyote viwe treated equally. Huu utaratibu wa sasa haujakaa kikulisaidia taifa bali upo kwa ajili ya kutukuza mfumo fulani wa uongozi na tunakoelekea hata idara zetu za kulilinda taifa zitakuwa zimemezwa na ccm kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa taifa.
Tanzania itaishi milele sisi sote na vizazi vyetu tutatoweka lakini inapendeza sana taifa litakapokuwa na misingi bora na imara ili hata vizazi vitakavyokuja baada ya mwaka 3000 vijue kuna mababu waliwahi kuishi nchi hii walilitendea vyema taifa ndiyo maana leo hii Tanzania inaongoza kiuchumi duniani maana you never know maisha haya yanabadilika na Mungu anabariki taifa linalokuwa na maadili yanayompendeza.
Ahsante.
Ukiwa mpiga mapambio huwezi kuuona uhalisiaKipimo na uzuri wake vimeonekana baada ya kutoka na kuja Viongozi wa hovyo ,ndo maana anajipatia credibility.
Kikwete alikuwa mtu kweliii kweliii
Kweli mzee apewe maua yake. Raisi wangu wa muda wote kwa sasa tz ni huyu.Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Ufisadi wa kihistoria wa taifa hili umeasisiwa wakati wake.Na hapo ni kwa uchache tu yule mzee tabasamu lake huwa linaficha mengi sana. Kumbuka pia watu walikuwa wanaondolewa kimyakimya mpaka hata mawaziri wake. Kumbuka kilichomkuta waziri Mgimwa yaani kipindi chake ufisadi ulikuwa ni sehemu ya maisha na hata huduma maofisini zilitolewa kwa upendeleo mkubwa mno. Yaani ilikuwa ukiingia ofisi ya umma watu wanakuona kama kinyago tu wafanyakazi wa ofisi wako busy tu na smartphone.
Ni kweli viongozi wote au marais wote walikuwa na ubovu wao ila JK mi huwa naona ndo alikuwa rais mbovu kuwahi kutokea nchini maana hakuwa na uchungu kabisa na taifa hili.
Wewe una TATIZO MOJA KUBWA ,unakosa analytical skills, kama huna analytical skills, huwezi kuwa na uwezo wa kuchanganua, kupambanua issue, ideas na kufanya proper comparison.Ukiwa mpiga mapambio huwezi kuuona uhalisia
Rais alieongoza kwa kashfa za ufisadi kuliko rais yeyote, na kuzitetea hadharani eti ni nafuu?
Itakua unatania.
Kwa nchi na Viongozi wanaojitambua kama JK , katika democratic arena ni kawaida.Haya mambo mengi uliyoyaandika ni sifa mbaya za incompetent leader na sio sifa za kiongozi makini kushambuliwa na mawe ni failure ya intelligence na hayo mengine hayatakiwi kutokea. Kwenye uongozi imara, thabiti.
Copy and paste!! BUMUNDA katika Ubora wakonani kakuambia kuna aliyeniambia?
Kabisa Kikwete alikuwa rais bora kabisa pengine kuliko hata Nyerere!Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Uongo tupu, hasa number 9, mahakama zilitengua Kesi majimbo mengi ya CCM, na kupewa ushindi upinzani hasa CHADEMA.Ni katika kipindi chake pia ambapo