Legacy ya Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete

Legacy ya Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete

Zipo kampuni nyingi zinachimba gesi huko. BG, ophir, Exxon n.k
Tpdc ananunua kwao, alafu tpdc anaiuzia tanesco. Tanzania haina umiliki sababu haikuwekeza kwenye utafiti na uchimbaji.

Kama unavyoona gas ya lindi ambayo tunataka tuwape Exxon, mradi gharama yake ni Trillion 100. Hiyo pesa hatuna ndio tunawapa hao, wanatafiti wanachimba wakianza uzalishaji wanatuuzia sisi na wanauzia wengine. Kwa kifupi hatuna uwezo wala pesa
Wewe bana una blah blah tu, nimekuwekea article inaonesha tpdc inamiliki 40% ya gas mtwara, unaleta blah blah
 
Hakuna kampuni nyingi zinazochimba gas ya mtwara,hizo kampuni zingine ni huko songosongo lindi, ambayo ni kazi ya mkapa na si kikwete

Mnazi Bay Gas Field

The field is located onshore southern Tanzania (Mtwara region), approximately 410 km south of Dar es Salaam, covering an area of 756 km2. The Mnazi Bay asset is operated by Maurel and Prom (M&P) (48.06%) with the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) (20%), and Wentworth Resources (31.94%) as joint venture partners. Total proved gas reserves at Mnazi Bay stand at 290 billion standard cubic feet. In 2019, gas production was 70 million cubic feet per day.
 
Ila chama kilikua kina karibia kuteketea mikononi mwake na kwa mara ya kwanza tulikua tunakaribia civil unrest.

Kama yale yaliyokuwa yanaendelea kwake yangeendelea kufanyika kwa miaka mingine mitano tu, watu wangeingia barabarani.

Matajiri walikua wachache wenye ukwasi mkubwa sana na rundo la maskini wasiokuwa na future.

Falsafa ya Magu ilipoza hasira za wanyonge na kutengeneza hali ya usawa mambo yakapoa kidogo.

Samia nae akisema aige staili yake naamini baada ya muda raia watashindwa vumilia.

Cha kufanya kwa Samia, achague kuwa karibu na wananchi, ziara kama hizi za mikoani aziongeze watu wamuelewe.

Asijifungie ndani tu na kukutana na hao mabwanyenye, aende kwa watu wa chini.
Chama hakikuwahi kutetetereka, zilikuwa ni propaganda "CCM kumfia Kikwete" wakati ule CHADEMA inatrend sana!! Hii ni kutokana na kutoa uhuru wa kidemocrasia.

Ambapo ukipita kariakoo umevaa sare ya CCM unazomewa!!

Hii yote ni democrasia ya kikwete kwa wapinzani!!!
 
Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.

1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
Wabongo ni washaulifu sana, huyu kikwete alietishiwa na wapinzani kupelekwa the hegue ndo alistawisha demokrasia?

rais aliebagazwa daily na vyombo vya habari vya kimataifa kwa kukandamiza wapinzani na kashfa za ufisadi ndo unamsifia hapa?

kikwete alikua rais mzuri bt hakua na sifa zote ulizomnadi hapa.
 
Yule twiga walivunja miguu au walimkunja?

Any way anajua kinana au msigwa ninaongopa nikisema hivi eti mchungaji msigwa ninaongopa?
 
Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.

1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state

Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.

Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"

Wadiz

Lakini pamoja na yoooote hayo, CHADEMA walimuita JK ni Rais dhaifu..!!

Leo ndio CHADEMA wanamuona JK mtu wa maana sana, ila walimdharau na kumuita Rais dhaifu, sasa hivi ndio mnamuona wa maana..!!
 
Chama hakikuwahi kutetetereka, zilikuwa ni propaganda "CCM kumfia Kikwete" wakati ule CHADEMA inatrend sana!! Hii ni kutokana na kutoa uhuru wa kidemocrasia.

Ambapo ukipita kariakoo umevaa sare ya CCM unazomewa!!

Hii yote ni democrasia ya kikwete kwa wapinzani!!!
Huo ndio ukweli mchungu kwa wanaomkubali huyo mzee.

Binafsi nilikua namkubali sana huyo mzee ila tulikokuwa tunakwenda.

Alihitajika mtu kama Magu, na alifiti sana majukumu yake.
 
madawa ya kulevya
ufisadi
utekaji + uuaji (ulimboka, chifupa n.k)
mikataba feki
watumishi hewa
vifo albino
kuzurula a.k.a vasco dagama
unanijua mimi ni nani?
awamu ya nne ilikua ya kitapeli, kinyonyaji, kiuaji na kichawi
lile fisadi la msoga likiondoka nchi itapona
 
Hakuna kampuni nyingi zinazochimba gas ya mtwara,hizo kampuni zingine ni huko songosongo lindi, ambayo ni kazi ya mkapa na si kikwete

Mnazi Bay Gas Field

The field is located onshore southern Tanzania (Mtwara region), approximately 410 km south of Dar es Salaam, covering an area of 756 km2. The Mnazi Bay asset is operated by Maurel and Prom (M&P) (48.06%) with the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) (20%), and Wentworth Resources (31.94%) as joint venture partners. Total proved gas reserves at Mnazi Bay stand at 290 billion standard cubic feet. In 2019, gas production was 70 million cubic feet per day.
Sio songo songo, tunazungumzia mtwara. Mfano block 2 ambayo Exxon mobil anachimba kwani ipo lindi? Huelewi haya au makusudi?
BG gas yupo block 1, na wameshagundua tena nyingine chaza huko huko mtwara
Ophir energies yupo mkizi

Hatujaelewana, nimekuuliza gasi ipo mnazi bay tu? Hapo umeweka mnazi bay kama vile gas yote ipo mnazi bay
 
Wewe bana una blah blah tu, nimekuwekea article inaonesha tpdc inamiliki 40% ya gas mtwara, unaleta blah blah
Nimeuliza kwani Gasi inatoka mnazi bay tu? Ni sawa na kusema Tanzania tunamiliki migodi yote ya madini sababu serikali kupitia Stamico wana migodi.
Au sababu serikali wana share acacia kupitia twiga basi tuseme migodi yote inamilikiwa na serikali.
 
Mkuu habari, vipi ulinisahau 😀🙏
Nakumbuka ndugu.

IPO tofauti kati ya dhiki na dhiki kuu sawasawa na Mathayo 28.

Pia kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii chenye mafumbo mengi, kurudi Kwa Yesu ni mara mbili tangu alipokuja katika mwili na kupaa Mbinguni.

Tembelea channel Inaitwa Unyakuo TV, tafuta video zinazoongelea kitabu Cha ufunuo, pia utasikiliza humo imeelezwa vyema hata jinsi Gani ajapo Yesu atawakuta Walio kaburini.

Ni hivi, baada ya Yesu kufufuka, WATAKATIFU hawakai tena kaburini, hupaa Mbinguni, Walio na mavazi yenye madoa hao wapo kaburini wanasubiri HUKUMU Yesu ajapo awachukue ikiwa watakuwa wameandikwa kitabu Cha Uzima.

Baada ya Unyakuo, wapo watakaoachwa na kupitia dhiki kuu, watakaoweza kuvumilia mateso watauwawa Kisha kusubiri kaburini Ili Yesu aje kuwachukua siku Ile ajapo Kwa HUKUMU.

Ubarikiwe.
 
madawa ya kulevya
ufisadi
utekaji + uuaji (ulimboka, chifupa n.k)
mikataba feki
watumishi hewa
vifo albino
kuzurula a.k.a vasco dagama
unanijua mimi ni nani?
awamu ya nne ilikua ya kitapeli, kinyonyaji, kiuaji na kichawi
lile fisadi la msoga likiondoka nchi itapona
Kikwete hakupata kuwa fisadi, Ila mama ndio Fisadi,

Riport za CAG kafumbia macho.
Wakati wa kikwete bunge lilikuwa huru, vigogo wengi walianguka kutoka madarakani!!!

Angekuwa mwingine kama mama angewalinda.

Lowasa, Eliakimu Maswi, Sospeter Muhongo,Msabaha,na wateule kibao, report za KUTISHA za ufisadi aliruhusu zijadiliwe Bungeni kwa uwazi.

Richmond, escrow.to mention few.

Wakati Mama anaogopa Report ya CAG kujadiliwa kwa uawazi,.

JAKAYA MRISHO KIKWETE APEWA MAUA YAKE mapema.

Natamami mwakani agombee tena aongze bkwa miaka japo mitano atuletee Raha watanzania!!

KUHUSU KUTEKWA alikuwa ni DR ULIMBOKA, japo siungi mkono ni kwa ajili ya PUBLIC Interest,wagonjwa walikuwa wanakufa kwa mgomo alipokuwa ameusimamia!!!

Hapana kama kikwete, Labda anafanana na Mzee Mwinyi Ruksa.

Hawa watu hawa wapewe maua yao.
 
Rais Huyu wakati wa Awamu yake alikuwa na nidhamu ya kiuongozi Hakutaka mambo ya kina Mugabe na Museven au Kagame ingawa alikuwa anawaona na kutembeleana nao. Alikuwa Mstaarabu Ile ya Daraja La Kwanza ni Bahati SI nzuri Class yake haikuwiana na Hali halisi ya nchi yake kimiundombinu elimu ya wananchi huduma nk.
Namwomba Mungu maono yake mwanae atimize kama Suleiman alipotimiza shahuku ya Bake Daudi kumjengea Mungu Nyumba.
 
Nakumbuka ndugu.

IPO tofauti kati ya dhiki na dhiki kuu sawasawa na Mathayo 28.

Pia kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii chenye mafumbo mengi, kurudi Kwa Yesu ni mara mbili tangu alipokuja katika mwili na kupaa Mbinguni.

Tembelea channel Inaitwa Unyakuo TV, tafuta video zinazoongelea kitabu Cha ufunuo, pia utasikiliza humo imeelezwa vyema hata jinsi Gani ajapo Yesu atawakuta Walio kaburini.

Ni hivi, baada ya Yesu kufufuka, WATAKATIFU hawakai tena kaburini, hupaa Mbinguni, Walio na mavazi yenye madoa hao wapo kaburini wanasubiri HUKUMU Yesu ajapo awachukue ikiwa watakuwa wameandikwa kitabu Cha Uzima.

Baada ya Unyakuo, wapo watakaoachwa na kupitia dhiki kuu, watakaoweza kuvumilia mateso watauwawa Kisha kusubiri kaburini Ili Yesu aje kuwachukua siku Ile ajapo Kwa HUKUMU.

Ubarikiwe.
Sawa mkuu lia kuna mtu humu aliniambia unyakuo ulishaanza na ni stage by stage hata sisi tunaweza tusiwepo ukitima wote?
 
Nimeuliza kwani Gasi inatoka mnazi bay tu? Ni sawa na kusema Tanzania tunamiliki migodi yote ya madini sababu serikali kupitia Stamico wana migodi.
Au sababu serikali wana share acacia kupitia twiga basi tuseme migodi yote inamilikiwa na serikali.
Acha kurukaruka,wewe ulisema gas ya mtwara zinachimba kampuni nyingi,which is a lie,na shudu lenu la jakaya kuuza gas ni uwongo pia, labda mkapa mzee wa mauzo ndiyo aliuza songosongo
 
Ni hivi, baada ya Yesu kufufuka, WATAKATIFU hawakai tena kaburini, hupaa Mbinguni, Walio na mavazi yenye madoa hao wapo kaburini wanasubiri HUKUMU Yesu ajapo awachukue ikiwa watakuwa wameandikwa kitabu Cha Uzima.

Ubarikiwe.
Mkuu samahani sijaelewa kitu, mfno sasaivi mtu anapofariki katika bwana hakai kaburini kusubiri ujuo wa yesu?, mbn kuna sehem biblia inasema wafu hawajui lolote wamelala tu?

Na wale waliokufa katika dhambi na wenyewe inakuaje wapo kuzimu au wamewekwa wapi wakisubir yesu arudi,
Kwasababu nachojua mwili hufa ila roho haifi
Je na yesu atakapo kuja atazifufua roho au miili au vyote kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom