Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
- Thread starter
- #21
Kwa watu wenye akili Kikwete is the best ever yangu nimesema hapo juu nimemaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Sio kama sisikii yanayosemwa au siambiwi yanasemwa bali .........." by Mzee wa Msoga
15. Alitudanganya kuwa angeigeuza Kigoma iwe kama Dubai.Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Mkuu ulikuwepo kwenye utumishi wa umma'nini!Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Mabaya machache kati ya mengi mazuri.Umesahau kuwa gesi yetu iluzwa Kwa wageni kipindi chake na Katiba mpya ilivurugwa upatikanaji wake akiwa Rais.
Na bado wapinzani na wakkkristu walimtukanaNachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Kwa upande wa maaskari ndio kabisa,kikwete ni mkombozi wao ,aliboresha maslai yaoUmeandika vyema sana, Mungu azidi kumbariki huyu mzee alitufanyia mazuri wafanyakazi na Watanzania Kwa ujumla.
Hapo tatizo nini?Umesahau burigi ni mbuga ya wanyama ilioanzishwa kwakusafirisha wanyama kwenye malori kutoka mbuga nyingine eti kwasababu tu mh raisi huko ni nyumbani kwake.
Kikwete Mungu azidi kumlindaNachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Burigi haikuanzishwa, ilikuwepo miaka mingi sana. Kilichoongezeka ni neno chato, na kupandishwa hadhi. Mbuga Kama mbuga ilikuwepoUmesahau burigi ni mbuga ya wanyama ilioanzishwa kwakusafirisha wanyama kwenye malori kutoka mbuga nyingine eti kwasababu tu mh raisi huko ni nyumbani kwake.
Gesi gani iliyouzwa?..gesi ya mtwara Tanzania inaimiliki kwa 40% kupitia tpdc,mnaimba huu uwongo Kama kasukuUmesahau kuwa gesi yetu iluzwa Kwa wageni kipindi chake na Katiba mpya ilivurugwa upatikanaji wake akiwa Rais.
Kaka tpdc wanamiliki hiyo 40% kwenye nini, kwenye kitalu kipi? Mtwara kuna vitalu vingiGesi gani iliyouzwa?..gesi ya mtwara Tanzania inaimiliki kwa 40% kupitia tpdc,mnaimba huu uwongo Kama kasuku
Gesi inayodaiwa kuuzwa tunaimiliki kwa 40% kupitia tpdcMabaya machache kati ya mengi mazuri.
Usipate shida kwenye hili, binadamu tumetofautiana. Wewe amini Jk alikua Bora, wapo wanaoamini alikua wa hovyo. Wapo wanaoamini nyerere ndio bora, wapo wanaoamini mkapa ndio bora, wapo wanaoamini magufuli ndio bora, wapo wanaoamini Samia ndio bora.Tuseme ukweli hakuna kama Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Mengine yote yanabaki kuwa sehemu ya utamaduni wa Human ecosystem and it's interactions.
Aliacha Tanzania ikiwa Diplomatic State na Kisiwa cha amani na utulivu kwa Africa nzima.