Legacy ya Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete

suala la demokrasia samia kamzidi mbali kikwete, ktk historia ya taifa hili wapinzani hawajawahi fanya maandamano mikoa tofauti bila bughudha ya polisi kama walivyofanya wakati wa samia.

maandamano pekee yalozuia kwa samia ni haya ya juzi yalokua na ajenda ovu dhidi ya samia.

samia anakopa kuendeleza miradi mikubwa alorithi, hivo sioni shida.

mradi pekee aloutekeleza kwa ufanisi mr tabasam ni UFISADI.
 
Hujui, kuhusu democrasia ,huna assessment tools, ungekuwa navyo ndo ungeelewa, mtu anayeogopa maandamano, kukosolewa, anayeogopa kujadili report ya CAG kwa uwazi.

Samia kaachwa mbali sana JK, na katika ufisadi anaongoza kabisa.
Miradi ya maendeleo ni sawa lakini sio kwa namna hii miaka mitatu anawapita. Wote Nyerere, Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli.

Akienda miaka mitano yote atafilisi national tresury KABISA na reserve ya dhahabu katika hazina yetu.
 
Narudia tena kidemokrasia samia kamzidi mbali sana kikwete.

Maandamano yote yalofanyika wakati wa kikwete watu walipigwa mabomu, baadhi walikamatwa, na baadhi waliuaawa.

Report ya CAG karibu awamu zote wahusika hawajawahi chukuliwa hatua stahiki.

ukopaji mkubwa wa samia umesababishwa na ukubwa wa miradi aloirithi, mpaka sasa samia katekeleza miradi ya thamani kubwa zaidi kuliko watangulizi wake.

kashfa za ufisadi wa JK zinajulikana, weka za samia tulinganishe.
 
Mbona hayo yote yanaendelea hata Sasa tena Kwa Kasi kubwa zaidi.

Mfano hivi Kuna Rais amewahi toa Ajira za maelfu Kwa maelfu kama Samia?
 
Ukweli ni kwamba kila awamu zina mazuri yake na mabaya yake. Ni vyema kumpongeza mtu kwa mazuri yake akiwa hai na kusema mabaya yake akiwa hai pia.

Mzee Kikwete swala la diplomasia na mahusiano bora aliliweza sana hata sasa analiweza pia ila upande wa mafisadi na ufujaji wa mali hapo alichemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…