Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

JPM wako ashakufa, anaoza ardhini now, and kauliwa na Corona, ugonjwa alioudharau sana. Hatorudi tena, na hamna jambo jema lolote aliloacha zaidi ya wizi na kuwapa vyeo ndugu, marafiki na watu wa kabila lake! Alikuwa Rais wa hovyo kweli kweli

Unateseka sana maskini poleeeeee
Jaribu kujipanga tena maana kwetu kazi inaendelea
 
Yaan tunaenda mdo mdo...

Ila tulisema jaman ni kawaida binadam kuwa na huruma hasa misiba na sisi wabongo. Yaan ukiambiwa ule umati uliokua unalia vile leo kumepoa hivi basi naamini nafasi ya unafiki duniani tupewe nyuma ya mmarekani[emoji23]
Si kila kilio ni huzuni mtani.. Na kuna watu popote wapo
Msibani wapo
Kwa utopolo fc wapo
Kwa Simba chama kubwa wapo
Ccm wapo
CHADEMA wapo
Wakisikia mwivi wapo wakisikia fumanizi wako
Wakisikia Diamond utawaona... Wakiambaiwa ni Konde boi hao...bado Maua, bado nandy nknk
 
Kuna Mataga wengi sana wanazi wa Magufuli kwenye mfumo wa nchi hii.
 
Hivi uchunguzi tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu umekamilika? Ben Saanane? Azory? Akwilina? etc etc?
 
Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Mv Liemba ya lake Tanganyika, ilijengwa na wakoloni(wazalendo) wa kijerumani mwanzoni mwa karne iliyopita. Mwaka 1960 hapa Dar, palikuwa mabasi ya ghorofa (Double deck bus) kama jijini London. Shule za Jangwani na Azania na vyanzo vya umeme Pangani falls na Nyumba ya Mungu vilikuwepo tangu kabla ya vita kuu ya pili
Karibu tena
 
Ehe hebu tutonye mkuu!

Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?
 
Yaani unajaza gazeti kumbe,unaandika utumbo tupu.Kama huna cha kuandika ,fanya kazi nyingine.Kuliko kutujazia uchafu tupu humu JF.
 
Mwenda zake aliziba watu midomo wasiongee yale yasiyo mpendeza ndani ya miaka mitano, hivi sasa nafasi imepatikana acha Watu Waongee.
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Dada mimi sina ushabiki wa Vyama lakini huyu mzee alikuwa katili sana.
Waliomfurahia ni wale waliolelewa kwenye familia za kikatili ,,yaani maisha ya ukatili waliyazoea.

Avater yako inanifanya niwe mpole kwako.
Oneday tuonane au unasemaje dada?
 
Nawe umeongea eti.legacy inapotea au wewe umeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…