Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.

Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.

Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.

Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Mzee yuko ndichi anakula vitasa huko, aliowachukia wanakula bia tu.

Ama kweli Mungu si Athumani
 
Ukatili gani pumbafu njie jpm kawafanyia. Kuna ukatili kama kuangamiza taifa kwa kuuzia vijana dawa za kulevya. Kuna ukatili kama kula hela hela za umma kwa kufanya ukandarasi hewa wa maji. Kuna ukatili kama kula mabilioni ya iptl kama mgao wa dili huku utapeli kuhusu iptl kuendelea bila kikomo. Kuwapoka mali za dhuluma na kuwalundika lupango na kuwazuia kuendeleza uporaji ndio legacy ya jpm. Mtakoma tu mapambano yanaendelea.
 
Thanks
Kweli tupu mkuu
Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Haya basi ameshakufa kwa hio hatakuja rais mwingine wakujenga.
Na kwa sababu hii miundombinu ndo haitajengwa Tena hapa Tanzania.
Loooh masikini,tumekwisha.
 
Mv Liemba ya lake Tanganyika, ilijengwa na wakoloni(wazalendo) wa kijerumani mwanzoni mwa karne iliyopita. Mwaka 1960 hapa Dar, palikuwa mabasi ya ghorofa (Double deck bus) kama jijini London. Shule za Jangwani na Azania na vyanzo vya umeme Pangani falls na Nyumba ya Mungu vilikuwepo tangu kabla ya vita kuu ya pili
Karibu tena

Bila kusahau UDA na mabasi ya Icarus Kama mwendo Kasi ya Sasa.
Kiwanda Cha Magari Nyumbu,
Udom,
Mloganzila,
Moi,
JK Hospital tumeacha kupeleka wagonjwa wa moyo India,
Uwanja wa Mkapa wa Michezo,
Daraja la kigamboni JK Nyerere.
 
Ipo namna mbili ya kuishi duniani unaweza ukafa lakini ukaishi milele na unaweza ukafa jumla.KILA mtu utengeneza future ya uzao wake mwenyewe uweje mbeleni hata asipokuwepo duniani.Uzao wa bob marley, mandela, Nyerere, lumumba,Ghandi, Luther King, Malcolm,Ford,Benz,nk hawa japo wamekufa lakini wanaishi uzao wao huna heshima milele mbele ya Jamii duniani, tofauti na uzao wa Mobutu,idi amin,bokasa, hitler nk hata kujinasibu mbele ya Jamii hawawezi wanaona aibu.
Ukiwekeza wema utaishi milele.
 
Bila kusahau UDA na mabasi ya Icarus Kama mwendo Kasi ya Sasa.
Kiwanda Cha Magari Nyumbu,
Udom,
Mloganzila,
Moi,
JK Hospital tumeacha kupeleka wagonjwa wa moyo India,
Uwanja wa Mkapa wa Michezo,
Daraja la kigamboni JK Nyerere.
Hivi ni vichache Sana kulingana na umri tuliopata uhuru
 
Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.

Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.

Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.

Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Haya leo Umoja wa Mataifa (UN) wamefanya Agenda rasmi ya kumkumbuka hayati JPM. Viongozi wawakilishi wa nchi mbalimbali wametoa ushuhuda wao kwa kazi za JPM....
 
Kwanini tusimseme Nyerere ametawala zaidi ya miaka ishirini.,,,kwa chama kimoja?
Kwanini tusimseme Mkapa naye pia wa CCM na hata kwenye uchaguzi wake waliiba kura pia?

Tunamsema huyo Kenge Mfu, kwa ujinga wake, kwa ukatili wake, wizi wa mali ya nchi na kura za watanzania, ubinafsi wa kujijengea airport kijijini kwake na hospitali ambayo ilitakiwa ijenge Geita
Ni Raisi pumbavu mno kutokea tangu tupate uhuru
Simkumbuki wala hatakumbukwa sababu ya dhiki na hofu aliyowaachia watanzania
Karibu Madam President.......
 
Mzee yuko ndichi anakula vitasa huko, aliowachukia wanakula bia tu.

Ama kweli Mungu si Athumani

nikadhani aliowachukia wako kanisani wanamuombea.

ujue Mungu si wa maharamia,ndio sababu kwenye hili hawataki kumpa sifa kwa kumtolea sadaka,bali wanalewa pombe ili kumsifu lucifer mkuu wao.
 
Back
Top Bottom