Hujasikia waliokamatwa huko kitaaani. Na wengine walifanya sikukuu kimya kimya.Ni humu tu na Twitter basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasikia waliokamatwa huko kitaaani. Na wengine walifanya sikukuu kimya kimya.Ni humu tu na Twitter basi
Kama aliyoweka wazi CAG kichele🤣🤣Magufuli juu zaidi tunakukumbuka....
mijizi na mikwepa kodi uliyoibinya huku....
inajamba jamba.....tu sio asubuhi sio mchana sio jioni.....
Mioyoni mwa mataga na wapiga zumari. Utawala wa Magu umeondoka kwa aibu kubwa. Ikiwa kifo cha fedheha cha mfalme na uanikwaji wazi wa ufisadi wa genge lake. Hii ni aibu na laana kubwa sanaTuachane we na nani?Jina la JPM litaishi mioyoni mwa mamilioni ya watanzania daima.Mlishindwa kumchafua alipokuwa hai,haitowezekana hivi sasa,endeleeni kuumia roho😅
UN mabeberu?? 😅😅😅Kama UN wanahangaika kumuongelea then jipime boss[emoji1787][emoji1787]
Eti Tanzania ni tajiri, tutembee kifua mbere. Kumbe kila mwaka anakopa trilioni 6 kujenga miradi yake ya kingeseKwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...
Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Kwa hiyo wewe sherehe yako ni Ijumaa kuu na siyo siku ile ya kwanza ya juma?ufufuo ndio unashrehekea!!!wewe ni mkristo wa wapi mkuu???
kifo cha Yesu ndio ushindi kwetu maana ndio ilikuwa dhamana ya dhambi zetu.
UN mabeberu?? [emoji28][emoji28][emoji28]
Kuwaza? Mema? [emoji16][emoji848][emoji2827]kuiwazia mema tanzania na africa kwa ujumla.
ExactlyTrue sons of Africa who never sought cheap popularity
umeuaJuhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM
Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%
JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Kuwaza? Mema? [emoji16][emoji848][emoji2827]
Wanywe bia au watoe sadaka hakuondoi ukweli kwamba malaika anakula vitasa mahali
Unagombana na nani?
Allahuma Amini
Mkuu you have spoken well(well said)magu is gone.
Mama Nina imani ataleta neema, Mungu alituleta huku duniani sio tuteswe na kiumbe kingine kilichoumbwa na mungu huyohuyo.
Narudia kusema magu angeishi mpaka 2059.ila amini nawambieni enyi wana Wa Adam mshahara Wa dhambi ni mauti.
Aisee kweli ,nimeshaagiza gari ipo njiani inakuja. Na hawa watu wa clearing and forwarding wataanza tena kupiga kazi na mtaona kamzunguko kanpesa kanaanza kuamka kidogo kidogo kwenye maeneo mengine.Kuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana
Legacy yake imebaki kwa keyboard warioirs kama wewe jingalao na wengineo. Huku mtaani hakuna kitu inaitwa legacy, sana sana utasikia shule nzima ina waalimu wawili, hospitali/vituo vya afya havina vitendanishi, ATCL inaleta hasara etc etc.
Hujasikia waliokamatwa huko kitaaani. Na wengine walifanya sikukuu kimya kimya.
Kafanya kidogo sana, lakini bado gharama ni ghali tu, ushuru siyo rafiki kabisa. Ajitahidi afanye zaidi. Hongera zake.Kuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana
E
Eti Tanzania ni tajiri, tutembee kifua mbere. Kumbe kila mwaka anakopa trilioni 6 kujenga miradi yake ya kingese