mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
nyinyi nyumbuuu tusikilizane.
mnanukuu maandiko pasi na uelewa nayo,wacheni kuchanganya hisia zenu na maarifa.
mfano wewe kilaza pia utakufa,huku hakuna yeyote anayelalamika kwamba umitendea dhambi.
magu amefariki kama ambavyo wewe pia utakufa,tofauti yenu ni kwamba magu kaliliwa na wengi sana,ila wewe hata mkeo nina mashaka kama atastuka.
Mkuu wacha wahangaike..... waache waumie, waache wapagawe hahaha... vibaraka wana hofu na wanahaha sasa zaidi hata wakati ule akiwa na uhai wa mwili.
JPM yupo anaishi na ataishi sanaa.
Kama ambavyo wachache wenye chuki nae wameshindwa kumsahau ndivyo wale wengi wenye shukrani kwa Mungu wanaendelea kuchipua ndani yao na kuyaenzi aliyofanya
Kazi iendelee