Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Laana haijui
Unatibiwa kwa CTscan za Magu.
Unakunywa maji toka ziwa victoria kwa juhudi ya Magu
Unapanda ndenge za Magu.
Umeme usio katika wa Magu.
Unacharge simu yako kwa umeme wa bwawa la Magu.
Kila unacho gusa ni kazi ya mikono ya Magu.
Kama siyo kulaaniwa ni nini?
Laani hii itawatafuna kwa vizazi hadi hapo hiyo miradi itakapo zeeka baada ya 200yrs
Na walipotea,kutekwa,kusingiziwa kesi,kila tunachogusa ni kwa mikono ya jiwe.
 
Na Kwa nini kila anaemfagilia Hayati aonekane si binadamu tena miongoni mwa jamii ndoogo ya watu waliochanganyika wema 2% na wauza madawa, wenye vyetu feki, majizi na mafisadi pamoja na wazembe 14% tu Kati ya watu wema ujumla wa 84% waliopendezwa na mfumo na utendaji kazi wake?

Ni ujinga na upumbavu kudhani Kwamba, watu hao walioamua kuwa upande wake hawastahili kufanya hivyo
Hiyo 84% mnaipata wapi?Je,ni kutokana na zile kura fake zilizopikwa na kina Mahera?Kama ndiyo hizo mmebugi,zile kura hazikuwa halisi nanyi pia mnafahamu.Legacy ya kiongozi huwa hailazimishwi na haitafutwi.
 
Wasukuma nawakubali,usiku ushalimisha watu majaruba sa hii ni mahesabu.

Kama hizo ndizo akili zako sistahili kukujibu wala kusoma post yako nyingine yoyote
Nimekupuuza rasmi kuanzia sasa
 
Hiyo 84% mnaipata wapi?Je,ni kutokana na zile kura fake zilizopikwa na kina Mahera?Kama ndiyo hizo mmebugi,zile kura hazikuwa halisi nanyi pia mnafahamu.Legacy ya kiongozi huwa hailazimishwi na haitafutwi.
Umewahi jiuliza Kwa nini Lissu ni mpingaji wa Legacy ya hayati JKN??

Kitendo cha kusema Legacy huwa haipingwi, ni lazima uanze kumwona Lissu hazimtoshi
 
R.i.p mzee Magufuli

Nchi iko mikono salama kwa mama
Hakuna cha R.I.P hapa atupwe Jahanam tu huko shubaamit zake alidhani yeye ni Malaika kweli

Kwenda kutuvunjia Nyumba yetu kimara mshenzi yule bila hata fidia senti 5 halafu kwao huko Mwanza akawaambia wasiwavunjie ni wapiga kura wake mbaguzi mkubwa ...

Mxieusssszzzz!!! Laanatullah tena atupwe kwa lile shimo la MAAHIYA ... NARUN HAAMIYA!!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Mkuu nmekuelewa sana

Pole sana
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro

Pole sana na msiba
 
D7 ni kitu gani mkuu Sisi wengine tunaishi kongwa huku ni tabu Sana kujua misemo yenu ya mjini
 
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM

Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%

JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro

Hakuna cha kuchipua hapa nani anamkumbuka jambazi, mkabila, mbabe asiestaarabika atupwe Jahanam tu huko alidhani yeye ni Malaika kweli

Kwenda kutuvunjia Nyumba zetu kimara mshenzi yule bila hata fidia senti 5 halafu kwao huko Mwanza akawaambia wasiwavunjie eti kwa sababu ni wapiga kura wake mbaguzi mkubwa roho mbaya tu na ukatili tu ...

Mxieusssszzzz!!! Laanatullah tena atupwe kwa lile shimo la MAAHIYA ... NARUN HAAMIYA!!!

Yaani huko saivi a anakipata cha mtemakuni eti LEGACY uliona wapi legacy inalazimishwa bungeni

Lini watu walikaa bungeni kijadili legacy ya Mwl. Nyerere au Mzee Mwinyi? Lakini imejitengeneza yenyewe tena kwa majina mazuri yaliyotokea naturally tu kama, Baba wa Taifa, Mzee wa Ruksa

Lakini huyu msukuma amebaki na majina ya dhihaka, KIONGOZI MALAIKA, JIWE huku hali ya maisha ikipewa jina baya kabisa kuliko awamu zote "VYUMA VIMEKAZA" halafu uniambie eti anaishi of coz atakua anaishi motoni huko

Piga uwa Legacy ya Magu itabaki kwenye mioyo ya watanzania wengi in negative and evil [emoji48] [emoji48] [emoji3163] point of view will never be regarded positively and soon people will forget him

REST IN PROBLEMS MAGU!!!
 
Back
Top Bottom