mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Ushuru umeshuka almost half
bila shaka utanunua gari au utaongeza jingine sasa maana pesa ilikuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushuru umeshuka almost half
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaumia sana eeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Nguvu unazotumia kumuua JPM mioyoni mwa watanzania ni nyingi mnoo ila ujue ataishi vizazi kwa vizazi
Wanaomkumbuka na kuchipua ni hawa hapa na wengine wengi zaidi
View attachment 1754311
View attachment 1754325
Kama inakuuma sana jinyonge
Au kama kinjekitile tu. Maajabu ya dunia.
Kila unapopita juu ya flyover mNa walipotea,kutekwa,kusingiziwa kesi,kila tunachogusa ni kwa mikono ya jiwe.
KafanyajeKuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana
Unajitahidi sana kumtetea mfu...Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM
Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%
JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Ashukuriwe mnyaazi Mungu kwa kutuondolea lile dubwana Ikulu, maana kwa nguvu za kawaida za kibinadamu asingetoka yule; Alipanga kufia ikulu, bahati nzuri kafa mapema, miezi 5 tu ya awamu ya 2 chalii
Huruma ya Nini? Legacy gani inapotea? Kwa maoni yangu wewe ndiye was kuonewa huruma kwa kuamini kuwa legacy inapotea
PamojaAmen
Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.
Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.
Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
The BAD outweighs the GOOD.Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.
Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.
Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Upo sahihi kabisaHeri ugali dagaa kuliko pilau la masimango!mkoloni alijenga yote hayo lakini tulimkataa!
Zenis, flyover ipi unkusudia, ya Tazara ilianza na Jk kama daraja la kigamboniKila unapopita juu ya flyover m
tamka hivi, kwa jina la Magufuli flyover hii imewezekana.
Usipotamka badi kwepa kupita au tumia ungo .
Maana mjinga huwa haoni.
Akinywa maji ya ziwa atakuambia yanatope.
Akipanda bombadia atasema panga boy.
Jk aliweka Trillion ngapi hapo?Zenis, flyover ipi unkusudia, ya Tazara ilianza na Jk kama daraja la kigamboni
Umezoea miradi ya kutajiwa ukubwa wa hesabu ya pesa (madafu) ishara ya umaskini. Badala ya kutaja faida na ukubwa wa mradi unataja gharama za mradiJk aliweka Trillion ngapi hapo?