Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

E

Eti Tanzania ni tajiri, tutembee kifua mbere. Kumbe kila mwaka anakopa trilioni 6 kujenga miradi yake ya kingese
Alikua tapeli katili yule jamaa..

Mungu katenda jambo lakini!
 
Tuachane we na nani?Jina la JPM litaishi mioyoni mwa mamilioni ya watanzania daima.Mlishindwa kumchafua alipokuwa hai,haitowezekana hivi sasa,endeleeni kuumia roho[emoji28]
Hayo mamilioni ya watanzania labda wa Chato, unasemelea mamilioni ya watz gani ww goigoi wa Lumumba?!

Hizi akili zenu za mkopo ipo siku mtazirudisha na riba kubwa sana.
 
Unaumia sana eeee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Nguvu unazotumia kumuua JPM mioyoni mwa watanzania ni nyingi mnoo ila ujue ataishi vizazi kwa vizazi

Wanaomkumbuka na kuchipua ni hawa hapa na wengine wengi zaidi




Kama inakuuma sana jinyonge
 
Umewahi jiuliza Kwa nini Lissu ni mpingaji wa Legacy ya hayati JKN??

Kitendo cha kusema Legacy huwa haipingwi, ni lazima uanze kumwona Lissu hazimtoshi
Usihamishe magoli,JPM hana Legacy aliyoiacha na ndiyo maana unahangaika kuitafuta na kuitetea.Unaweza kututajia walau baadhi yake?
Issue ya Lissu na JKN hapa siyo mahala pake.Fungua thread ya huo mjadala.
 
ufanye sikukuu kimya kimya halafu ukamatwe!!!!!

tatizo lenu mna katabia ka uchangudoa,
vipi uhuru wa vyombo vya habari umefikia wapi,mara ya mwisho naskia mliwaka na magazeti yafunguliwe[emoji38][emoji38]
Aliyeyafungia sasa hivi yuko wapi. Amefaidika na nini?
 
Na Kwa nini kila anaemfagilia Hayati aonekane si binadamu tena miongoni mwa jamii ndoogo ya watu waliochanganyika wema 2% na wauza madawa, wenye vyetu feki, majizi na mafisadi pamoja na wazembe 14% tu Kati ya watu wema ujumla wa 84% waliopendezwa na mfumo na utendaji kazi wake?

Ni ujinga na upumbavu kudhani Kwamba, watu hao walioamua kuwa upande wake hawastahili kufanya hivyo
UVCCM mna kazi ngumu sana ya kuibadili nyekundu kuwa njano

Poleni sana
 
Ukatili gani pumbafu njie jpm kawafanyia. Kuna ukatili kama kuangamiza taifa kwa kuuzia vijana dawa za kulevya. Kuna ukatili kama kula hela hela za umma kwa kufanya ukandarasi hewa wa maji. Kuna ukatili kama kula mabilioni ya iptl kama mgao wa dili huku utapeli kuhusu iptl kuendelea bila kikomo. Kuwapoka mali za dhuluma na kuwalundika lupango na kuwazuia kuendeleza uporaji ndio legacy ya jpm. Mtakoma tu mapambano yanaendelea.
Ukatili wa kutokupandisha mishahara wafanyakazi kwa miaka 6, kuua wapinzani na kuwaweka Kwenye viroba, kudhulumu wazee mafao yao, kupiga risasi wapinzani... the list is endless
 
Usihamishe magoli,JPM hana Legacy aliyoiacha na ndiyo maana unahangaika kuitafuta na kuitetea.Unaweza kututajia walau baadhi yake?
Issue ya Lissu na JKN hapa siyo mahala pake.Fungua thread ya huo mjadala.
Kama kigezo legacy haitakiwi kutetewa, bali inajipigania, Basi Anza kumdharau mbeligiji kuanzia leo kwa kuwa, yeye alidiriki kupinga legacy za hayati JKN, Wakati wewe na genge loote ufipa mnazikubali mambo alizoziacha Mwl

Inakuweje sasa Legacy mnazozikubali za JKN zipingwe na mwehu mmoja??
 
Kama kigezo legacy haitakiwi kutetewa, bali inajipigania, Basi Anza kumdharau mbeligiji kuanzia leo kwa kuwa, yeye alidiriki kupinga legacy za hayati JKN, Wakati wewe na genge loote ufipa mnazikubali mambo alizoziacha Mwl

Inakuweje sasa Legacy mnazozikubali za JKN zipingwe na mwehu mmoja??
Ufipa ndiyo wapi tena?Hizo Legacy za JKN zinahusianaje na Jiwe?Mbelgiji/Mwehu ni nani?We we unatetea legacy ya nani?
 
Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Kwani alikua anatoa hela mfukoni mwake hadi useme alimjengea, hivyo hata mwanangu angeweza kujenga bila wasi wasi wowote
 
Back
Top Bottom