Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa ni presentation ya Jaji Rutakangwa kuhusu makosa mbalimbali yanayafanywa na mahakama kuu.
Amejadili maeneo yafuatayo
Hii paper ni useful kwa wanafunzi na practitioners pia.
- Mamlaka ya Mahakama (Jurisdiction of Court) na pingamizi za awali (Preliminary objections).
- Maombi ya kufungua mashauri nje ya muda, idhini ya kukata rufaa na “certificate on a point of law".
- Uendeshaji wa mashauri na kupokelewa kwa ushahidi.
- Uandikaji wa hukumu na tathmini sahihi ya ushahidi.
- Utoaji wa adhabu katika makosa ya jinai.
NAOMBA SOFT COPY HIYO PLEASEipo soft copy yake, nikijaribu ku upload hapa inakataa, nipe email yako
Hapana, tuma humu wote waitumie!NAOMBA UNISAIDIE TAFADHALI KUNITAFUTIA CASE HII: Civil Appeal No. 5/97 – Tanzania Saruji Corporation vs African Marble CO. Ltd. CAT at Dar.
NITUMIE INBOX KAMA ITASHINDIKANA HUMU.
Mkuu Retired hiyo kesi (Tanzania Saruji Corporatio v African Marble Co. Ltd, Civil Appeal 5/97 ipo reported kwenye TLR ya mwaka 2004 uk wa 155 ([TLR] 155). Nimejitahidi kui upload hiyo report hapa inagoma nadhani sababu ina MB nyingi. tafuta hiyo report utaikuta hii kesi.Hapana, tuma humu wote waitumie!