Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
Mkuu Blue G group la whatssap lilishawekewa wazo humu jukwaani mna mdau mmoja. watu tulisubmit namba zetu lakini bisafsi sijaona kama kuna maendeleo yeyote. Wadau inabidi tuanzishe group lililo hai.
Kwa notic za constitutional law, anza na kupakua baadi ya stuff zipo hapo juu post namba 396
Okay sawa Mkuu Dragoon naombeni niifanye hiyo kazi leo
Tafadhali kama hutojali naomba usubmitt namba yako kwa mara nyingine tena na pendekezo la jina la group letu leo jioni tu nalicreate kwa sasa niko occupied