Mkuu Blue G group la whatssap lilishawekewa wazo humu jukwaani mna mdau mmoja. watu tulisubmit namba zetu lakini bisafsi sijaona kama kuna maendeleo yeyote. Wadau inabidi tuanzishe group lililo hai.
Kwa notic za constitutional law, anza na kupakua baadi ya stuff zipo hapo juu post namba 396
0759323948Sawa mkuu soskeneth naomba namba yako tafadhali leo jioni nalicreate na pendekezo la jina la group if any
Poa Mkuu Asante
Namba tafadhari kwa ajili ya JF Bar WhatsApp groupMkuu Blue G group la whatssap lilishawekewa wazo humu jukwaani mna mdau mmoja. watu tulisubmit namba zetu lakini bisafsi sijaona kama kuna maendeleo yeyote. Wadau inabidi tuanzishe group lililo hai.
Kwa notic za constitutional law, anza na kupakua baadi ya stuff zipo hapo juu post namba 396
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana ya hivi vitu na sitokuwa mchoyo kwa lolote, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Mwaka gan?? Toa full citation basiiDragon naomba unirushie case law hii, nina shida nayo sana.
ROBINSON MWANJISI AND OTHERS v. REPUBLIC
Mwanjisi and 3 others v. Republic (2003) TLR 218
Kama uko remote county ambako huwezi kupata hizo law reports unafanyaje? Ukiwa dar nitanunua zipo tele , siyo mikoani. and particularly when you are trying to build your library for those entering the profession!Mkuu Retired jitahid kutengeneza mazingara ya kuwa kama Dragoon ili kuzalisha watu wengi kama yeye kuliko mfumo wa IMLA kila kitu Dragoon hata pale inapowezekana maana Dragoon akistafu JF means Legal professional itakufa humu JF kwa mwanasheria graduate (sio mwanafunzi bado) ni UZEMBE Kuomba REPORTED precedence (reported ni za wanafunzi) kwa enrolled practitioner tunashare MOST recent unreported precedences.
ROBINSON MWANJISI AND 3 OTHERS v. REPUBLIC (2003) TLR 218
kama unayo nitumie, najua sana wajibu wangu. Ukina hivyo ujue there are no means of getting one!Mkuu Retired jitahid kutengeneza mazingara ya kuwa kama Dragoon ili kuzalisha watu wengi kama yeye kuliko mfumo wa IMLA kila kitu Dragoon hata pale inapowezekana maana Dragoon akistafu JF means Legal professional itakufa humu JF kwa mwanasheria graduate (sio mwanafunzi bado) ni UZEMBE Kuomba REPORTED precedence (reported ni za wanafunzi) kwa enrolled practitioner tunashare MOST recent unreported precedences.
ROBINSON MWANJISI AND 3 OTHERS v. REPUBLIC (2003) TLR 218
Dragon naomba unirushie case law hii, nina shida nayo sana.
ROBINSON MWANJISI AND OTHERS v. REPUBLIC
Mkuu sagaciR nilipanga kulifanyia hilo kazi leo ila mambo yameingiliana ila bado am on it na sintowaangusha tupia tu na wewe namba yako hapaNamba tafadhari kwa ajili ya JF Bar WhatsApp group
Pamoja sna learnedHabari za muda huu mkuu soskeneth sorry aisee simu yangu nimeiformat kwa kusudi maalum lakini mambo yakaingiliana nimeshindwa kuform group
Naombeni muda kidogo tu wadau then nitaliform nishachukua baadhi ya namba za wadau
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Work on it man (Blue G) the world now is a cell. Lawyers are always a team not rivals as most laymen thinks!.Mkuu sagaciR nilipanga kulifanyia hilo kazi leo ila mambo yameingiliana ila bado am on it na sintowaangusha tupia tu na wewe namba yako hapa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mkuu sagaciR nilipanga kulifanyia hilo kazi leo ila mambo yameingiliana ila bado am on it na sintowaangusha tupia tu na wewe namba yako hapa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app[/QUOTE