Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Asante, umeona kuwa katika hali ya kawaida, ile scenery nzima mtu angesema kuwa alikusudia kuua maana alishatamka kwamba utanitambua.... sasa nikifa tena wewe ukaniua kwa mwichi, akili ya kawaida ni kuwa ulikusudia kabisa. Lakini angali majaji walivyochukua angle tofauti kabisa
 
.
Hapa tunaona kuwa mahakama kuu ilimuona mtuhumiwa kuwa kaua kwa kukusudia na kusudi hili lilikuwepo toka mchana wa siku hiyo ya tukio kwani alitamka wazi kuwa marehemu atamtambua. Majaji wa rufaa walichukua scenario tofauti kuwa mtuhumiwa alikuwa amelewa sana na tukuo la mauaji lilitokea usiku. kwa hiyo Majaji wakasema hapakuwa na ushahidi wa kutosha kuwa mwichi uliotumika kumpiga marehemu ulikuwa na ukubwa gani, na kwamba mwanga katika chumba cha mauaji ulikuwa wa aina gani kumwezesha muuaji kumtwanga marehemu sehemu nyeti (kichwani) kwa nia ya kumuua. Majaji waliona kuwa upande wa mashtaka haukudhibitisha pasi shaka ili kukizi matakwa ya jinai ya kuua kwa kukusudia. Kwa hiyo mahakama ikampa mtuhumiwa benefit of doubt.
 
Mfano hizi nikidownload kwa kuanzia kuselecte civil case 3 of 3011 inadownload nyingine 17 of 2007 halaf zingine zote inagoma kila nikijarib inanidirect huko huko kwny 17 of 2007.

Na hili tatizo ni kwa kila uploads yenye attachments. Apa nimetoa mfano tu ambao ni halisi ndicho kilichonitokea.
 
Mkuu, hahisi setting za device yako haziko sawa. Jaribu kuzihakiki. Ikishindikana nitaarifu ni- upload zingine.
 
Mkuu, hahisi setting za device yako haziko sawa. Jaribu kuzihakiki. Ikishindikana nitaarifu ni- upload zingine.
Settings kivip mkuu kwan kudownload hizi nako nahitaji niwe na Apps (i.e downloader yke) au unanishauri niset simu kivip learned?.
 
Settings kivip mkuu kwan kudownload hizi nako nahitaji niwe na Apps (i.e downloader yke) au unanishauri niset simu kivip learned?.
Ok, nazi -upload tena hapa hivi punde.
 

Attachments

Zikiwa separate hivi zimekubali zote learned..

Lakin zikiwa pa1 nimejarib hata sa hz maana ile cc 17 of 2007 niliidownload bas nikijarb kudownload nyingine tofauti kinachotoeni ni .......simu inanidirect "open with" inataka nichague complete action with....mfn wps, pdf, polaris office etc ambazo nimeinstall kwny cm angu nikiruhusu inafunguka ilele ambayo tyr nishadownload (i.e civ 17/2007)
 
.
Hata mimi nilihisi zikiwa pamoja inaweza kuwa ndio kikwazo, ndio maana nimeamua niziweke separate. Karibu sana Learned Fellow
 
Asante,hivyo kwa mwenendo wa binti Lulu, any verdict can surprise the majority!
 
Mh. Dragoon,
Naomba msaada kidogo. Mdogo wangu amesimamishwa kazi kuwa eti amegushi cheti. Lakini katika kuhakiki vyeti hakuwa na tatizo kwani yeye ni darasa la saba la zamani, hivyo alikuwa hana hatia na akaendelea kuwa kazini. Katika figisu za maofisini, kutoka kwa ndugu zake wakamchomekea cheti kwenye faili lake kuwa ana cheti cha kugushi. Akakataa kuwa angalia hata appraisal zangu, hakuna mahali nilipowahi kujaza kuwa na cheti cha form4 kwa miaka yoye 20 kazini, Pili, hakuna barua katika faili langu kuomyesha kuwa nilileta cheti cha form4 as an additional qualifications,. Akawaandikia barua kueleza upande wake, wakaamua kukaa kimya bila kumrudisha kazini au kumfukuza kazi ikajulikana.
Kibaya zaidi hata mshahara walisimamisha, hawampi kabisa. Kitu ambacho nadhani ni makosa kwani siku hizi ukiwa na tuhuma unapata mshahara wako wote. Naomba msaada
1. Achukue hatua gani katika hali kama hiyo?
2. Kisheria ni sahihi kumnyima mshahara?
 
Your Lordship Dragoon, naomba kama una doc hii unitumie tafadhali: Code of Good Practice Rules 2007
This looks awkward anyway naomba kujua kwa nini katika labour disputes wanatumia revision badala ya appeal. Mfano, kutoka CMA kwenda Labour court, High court, mtu anaomba revision na si appeal?
 
Mkuu, nitaleta mrejesho hapa soon
 
Ubarikiwe sana. Kijana wangu kafanyiwa hivyo. Hata ile mshahara hapati kasimamishwa
Legally speaking huwezi kumnyima mshahara mtumishi kwa sababu ya vyeti feki. Mtumishi atanyimwa mshahara kwa kutokuwepo kazini kwa sababu moja au nyingine. Nitakuletea details hapa baadae
 
Msaada: naomba Template au document itakayonisaidia kuandika WILL au WOSIA (WASIA)
Kiongozi, Will au Wosia unaweza kuuandika pasipo kufata formality yeyote. Hata hivyo kuna mengi katika tasnia hii yanahitajika uyafahamu. Hapa nakuwekea Probate Forms ambazo zina mengi ya kukufundisha, ikiwemo format ya kuandiaka wosia katika "prescribed" form. Chambua hapa.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…