Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Wakuu nina shida ya kisheria..nimeshurutishwa kutoa simu yangu na kupekuliwa pasipo kibali cha mahakama wala police nahitaji kufungua kesi na kudai fidia
Mkuu ni vizuri ukafafanua zaidi. je, ulishurutishwa katika mazingira gani? na waliokushurutisha ni watu gani?
 
Mkuu ni vizuri ukafafanua zaidi. je, ulishurutishwa katika mazingira gani? na waliokushurutisha ni watu gani?
Mkuu naomba kama ni mwanasheria niambie nije inbox tuyajenge
 
naomba mwenye hii kesi anisaidie
TANZANIA BUREAU OF STANDARDS V. ANITA KAVEVO MARO, HIGH COURT, LABOUR DIVISION, 2017.
 
Mwenye kesi hii naomba anisaidie please Dragoon
Tanzania Breweries Ltd vs. Edson Muganyizi Barongo and 7 Others: Misc Labour Application No. 79 of 2014: High Court of Tanzania (Labour Division) at Dar es Salam (Unreported).
 
jamani msaada, statutory 90 days to sue gov lazima iandikwe na wakili au mdai mwenyewe unaweza kuandika?
 
MKuu, nilipotea kwa mda. Bila shaka hakuna kilichoharibika. Kesi yako hii hapa..
 
Attachments

jamani msaada, statutory 90 days to sue gov lazima iandikwe na wakili au mdai mwenyewe unaweza kuandika?
Hakuna requirement inayolazimu notice iandikwe na wakili, wala hakuna prescribed form. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye interest na madai anaweza andika statury notice.
 
MKuu, nilipotea kwa mda. Bila shaka hakuna kilichoharibika. Kesi yako hii hapa..
Dragoon, ulipotea sana, we have suffered a lot. Karibu sana tena sana. nshukuru kwa kesi hii. Barikiwa sana.
 
Hakuna requirement inayolazimu notice iandikwe na wakili, wala hakuna prescribed form. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye interest na madai anaweza andika statury notice.
Thanks a lot!
 
Hakuna requirement inayolazimu notice iandikwe na wakili, wala hakuna prescribed form. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye interest na madai anaweza andika statury notice.
Kuna tatizo naliona. Unapo mserve AG, how do you do it, maana ukiituma kwa posta huko mbele atakana kuwa was not served. Unafanyaje kuweka ushahidi kuwa kipata notice?
 
Dragoon kwanini case za labour zinaitwa REVISIONS? uNAPOTOKA cma UNAOMBA KUFANYA REVISION AND NOT APPEAL? Dragoon
 
Hii kitu nimechelewa sana kuiona, hizo sheria si xishapitwa na wakati sasa.
 
Hi, both Members of the bench and bar. As this platform aimed at sharing Legal documents and practises, am hereby requesting from anybody having in possessions of docx underlined (in red) in this attachment hereof, sharing with us here.

Much obliged yours honor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…